kajima
JF-Expert Member
- Dec 5, 2009
- 1,289
- 513
Siku ile ikija na baadhi yenu mkahekimika na kujadili masuala anuai bila kufungwa na mitazamo ya kidini, mtafurahia uhuru wa mawazo, sasa kifikra mmefungwa na kuna maeneo mtakwama sababu ya ubaguzi. Taifa hujengwa na watu wa fikra huru, humu baadhi si wajengaji. Nafikiri kuna watu wanahitaji kutazamwa malengo yao haswa ni nini.