Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?




Duuh! Tukipata watz saba tu wenye wawazo mgando kama wewe, nchi inavurugika.

Hv unaamin mtizamo wako ndo umeona kuwa wako waisilam kadhaa na wakristu kadhaa, mie hata sikujua hilo.
 
hahahahaha....mkuu nimeshakwambia sitii wanaume...yaani hata utoe sh ngapi...mknd wako sitafuni ng'ooo
Naona unaelezea uliyofanyiwa seminar na Father John.

Teh teh teh!!
 
Hi ni awamu ngumu sana kwa waislam, i wish hata hao sita wasiende kuapishwa, Magufuli amalizie wasukuma wenzake!
 
R.I.P KIGOMA ALLY MALIMA mfumo ulioanzisha wa kuandka namba kwenye mtihan badala jina umesaidia kidogo baadhi kupenya....LAKINI NGOMA BADO NGUMU,WANAKUKATA BAADAE KWENYE UTEUZI WANASEMA USIWATEUE"WAISLAMU HAWANA AKILI WAO NI MADRASSA TU.
 
Kwa kweli si suala la kwamba mimi ni mwislamu ndiyo nazungumza haya la hasha! Nayazungumza kwa namna ninavyoiona muvi ya wakuu wa mikoa inavyoonekana.

Ukiistadi kwa makini orodha ya wakuu wa mikoa 26 aliowateua mheshimiwa Rais, kati ya hao 26 waislamu ni watano tu na kati ya hao watano ni mmoja tu Meja Jenerali Salum Mustafa aliyeteuliwa na Rais Magufuli. Wengine Said Meck Sadik, Said Mwambungu, Halima Dedengu na Amina Masenza ni masalia ya wateule wa Kikwete.

Tukiachana na ushabiki wa kidini hapa kuna hitilafu kubwa kwa sababu kuna uwezekano huko mbeleni akatokea kiongozi wa nchi akautumia mwanya wa serikali yetu haina dini na kumwona kila anayeongelea kupuuzwa waislamu kuitwa mdini akapenyeza watu wake kwa maslahi ya dini yake na watu wasiseme chochote. Tusisubiri tufike huko.
 
Swala la udini ni hatari sana naona sasa kila group agenda ni Udini
 
Hayo mengine sijui, ila nafunga mdomo hapo kwa Halima Dendegu
 
Ritz sasa ndio umefanya nini?? Nipe na ban kabisa maana naona inasubiri approval yako..
 
Ukiona mtu anazungumzia udini au ukabila kwa maana ya uteuzi kafilisika. na kwa taarifa tu kuwa sensitive na hili kama ulivyofanya ni hatari sana siye tusio na dini je??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…