Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,455
Na magufuli kuanzia sasa ataitwa Askofu mkuu wa nchi hii,Bila shaka maelekezo nchi hii imegeuzwa kuwa kigango cha kanisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na magufuli kuanzia sasa ataitwa Askofu mkuu wa nchi hii,Bila shaka maelekezo nchi hii imegeuzwa kuwa kigango cha kanisa
Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!
Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
since 2011..ahsante kakaPole sana dogo, karibu JF jukwaa ambalo tuna uhuru wa kuzungumza.
Siku nyingine ukiingia majukwaa kama haya ya kikubwa jifunze kuwa na FREE IDEAS
Huyu mzee asipoangalia atawagawa watu
Naona unaelezea uliyofanyiwa seminar na Father John.hahahahaha....mkuu nimeshakwambia sitii wanaume...yaani hata utoe sh ngapi...mknd wako sitafuni ng'ooo
Vipi RITA umepigwa chini hahahahha saizi unauza mbege tu.Naona.al nusra mmeanza kuja kwa kasi
Elimu
Elimu
Elimu
Endeleeni kwenda kushoto aka anti-clckwise wakati dunia inakwenda clockwise
You are Welcomesince 2011..ahsante kaka
ni tofauti ya miaka miwil tuYou are Welcome
Ukiona mtu anazungumzia udini au ukabila kwa maana ya uteuzi kafilisika. na kwa taarifa tu kuwa sensitive na hili kama ulivyofanya ni hatari sana siye tusio na dini je??Kwa kweli si suala la kwamba mimi ni mwislamu ndiyo nazungumza haya la hasha! Nayazungumza kwa namna ninavyoiona movi ya wakuu wa mikoa inavyoonekana.
Ukiistadi kwa makini orodha ya wakuu wa mikoa 26 aliowateua mheshimiwa Rais, kati ya hao 26 waislamu ni watano tu na kati ya hao watano ni mmoja tu Meja Jenerali Salum Mustafa aliyeteuliwa na Rais Magufuli. Wengine Said Meck Sadik, Said Mwambungu, Halima Dedengu na Amina Masenza ni masalia ya wateule wa Kikwete.
Tukiachana na ushabiki wa kidini hapa kuna hitilafu kubwa kwa sababu kuna uwezekano huko mbeleni akatokea kiongozi wa nchi akautumia mwanya wa serikali yetu haina dini na kumwona kila anayeongelea kupuuzwa waislamu kuitwa mdini akapenyeza watu wake kwa maslahi ya dini yake na watu wasiseme chochote. Tusisubiri tufike huko.