Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Ni kweli kabisa, na walioachwa wenngi ni waislam 8 wote ! Hii haikubaliki kabisa kwenye baraza la mawaziri tumepigwa, makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika ya uma, wakurugenzi wa halmashauri , kitawaka tuu!
Nasubria teuzi za wakuu wa wilaya,kama Magu asiposhaurika atalinywa!
 

Hata ile kasi ya wanawake kuwa 50/50 imeyeyuka,naona Mpaka miaka mitano iishe wanawale watakuwa 10/100
 
Cjaelewa kwanini wanasema waislam hawanaa akili wakati sote binaadam hamna alieshushwa..
 
kwan kwe ile awamu iliopita waislamu walikua wangapi mkuu?
 

Kabla hujatoa hoja ungefanya na study pia kama hao waliowekwa hawana vigezo. Pia angalia proportion ya makundi yao pia over large population wenye elimu ni kiasi gani na wako wangapi kwenye position. Hii tabia mlileta sana awali tukaishia kuwekewa watu hawajui hata wafanye nini. Kazania kwanza vigezo na ndipo waweze kucompete kwenye position.
 

Magufuli anateua kwa kuangalia uwezo, tofauti na Mwinyi na Kikwete walio kuwa wanateua kwa kuangalia usawaziko wa uislamu na ukristo, na hata kutaka kupendelea waislamu ili kuwainua kidogo. Sasa matokeo ya idadi ya wakristo na waislamu katika uteuzi ni purely incidental, sio by design. Unapotanguliza suala la kutaka kusawazisha uteuzi wa wakristo na waislamu unaishia kuteua vilaza wengi sana kwa sababu tu wanafit category ya dini fulani. Sasa uteuzi wa namna hiyo sio wa Magufuli.

Magufuli yeye ni HAPA KAZI tu sio HAPA DINI tu.

Kwa hiyo achana na dhana za kwamba sijui Waislamu ooh wakristo. Kama mtu hafai ateuliwe tu kwa sababu ya dini yake?

Hayo mambo yalishapita kwa sasa, angalau kwa awamu hii. Weka hilo kichwani na just accept it.
 
Zamu yetu..😛...ile ya kwenu tulilalamika hivi hivi. Na bado Wilayani.
 
Huyu Magufuli itakuwa hana washauri, au washauri wake wanamshauri maujinga! huwezi ukawa mbaguzi wa waziwazi kiasi hiki! hii nchi ataipasua vipande viüande kwa ajili ya kurilidhisha kanisa! kanisa lenyewe liko linajifia natural dealth! yaani nimetokea kumchukia! Mungu nisamehe kwakweli
 
Rudi shule dogo kapitie civics!
Teacher wako hakukwambia kuhusu hilo? Kifupi Taifa letu ni "Cellular nation" Yaan kuna wakristo, waislam, wapagan,wenye kuabudu mila nk. Kila nchi ina utaratibu wake Mfano Zambia ni 'Christian nation' haina maana kuwa waislam hawapo! Wapo ila nchi inafuata misingi ya dini. Makanisa ni mengi kule ukilala ukiamka ukasema umeoteshwa kama babu wa Loliondo is a crime! Unashitakiwa ! Lakini kwa Tz flesh tuu .
 
Nasisi tukazane kusoma ili tuwe na sifa za kuteuliwa maana miaka ya hapo nyuma tuliwekeza sana kwenye mdrasa wakati wenzetu wakipiga elimu dunia; mpaka sasa wenzetu wanavyuo vikuu lukuki, shule za msingi na secondary wanaongoza, hospitali nyingi tena zingine za rufaa nazo pia wanamiliki. Ila na sisi awamu iliyopita tulishika ngazi nyingi hasa zile za juu kuanzia mkuu wa nchi na makamu wake na mawaziri sehemu nyeti mfano fedha, ulinzi, Elimu.

Ushauri tu; ukidhani kuwa utachaguliwa kwa sababu ya dini yako, labda uende ukaishi nchi kama Iran, Iraq, Pakistan, Afghanistan, Uzubegjistan, Libya, Somalia, North Sudan, Oman, Indonesia, Malysia, Takijstan na makao makuu ya dini yetu huko Saudia. Katika nchi hizi ukisikika unataja kwamba "Jesus is the LORD and Savior" adhabu yake ni kunyang'anywa kabisa kichwa chako.

Nchi kama Zambia, UK, USA, German, Franch na nyinginezo za Ulaya zina alama ya Ukristo lakini muislam ana uhuru wa kutamka dini yake, ana uhuru wa kugombea uongozi, ana uhuru wa kujenga na kuupamba msikiti kadri awezavyo na hakuna mtu wa kumlipua bomu wala kumshambulia. Kizuri zaidi ni kuwa mtu yeyote anaruhusiwa kubadili dini kwa mda wowote tena hata akijitangaza hadharani ni sawa tu na jamii itaendelea kumpenda tu. Lakini kwa nilizotaja hapo juu, daaa! kesema tu Yesu anaokoa, kakichwa kangu kanatenganishwa na mwili wangu. Sasa unaweza kujua ipi ni dini ya aman kata ya hizi mbili, yenye kuwalazimisha watu kujiunga nayo au ile inayowaacha waamue wenyewe na bado ikabaki kuwapenda hata wale wasioikubali?

Kwa taarifa ni kwamba ukiwa unatafuta huyu na yule wameteuliwa kwa sababu ya dini yako, basi mawazo yako hayatofautiani na ya wale wanaokesha kwenye vikao vingi usiku na mchana wakitafuta ni namna gani eti sheria za dini yao ziwe sehemu ya katiba ya Tanzania kwa mpango mkakati kuwa eti siku moja dini yao itatawala na kuitangaza Tanzania ni dola ya dini yao. Jambo hilo ni ndoto za mtu anayeota anakojoa porini na kumbe anakojorea godoro alilolalia na mara aamkapo usingizini hutambua waziwazi kuwa ndoto yake ilikuwa ya uongo, tena kibaya zaidi amekojolea kitandani kwake. Ndivyo itakavyokuwa kwa wenye ndoto za dini yao kutawala Tz.
 

Tuanzie kwanza hapa... Hao wenzetu waliosoma awali walisoma wapi?
 
wanamaanisha serikali ya Tanzania haiegemei upande wa dini yoyote, kuna mataifa kama Saudi Arabia, Iran n.k wao serikali inafuata mafundisho ya kiislam
Basi wangesema haifungamani na dini yeyote lakini sio kusema haina dini wakati tunaona viongozi wa serikali hii hii isiyo na dini wakiapishwa kwa vitabu vitukufu(quran&biblia)
 
Hotuba ndefu kumbe pumba tupu...sasa mbona kwa wenye akili tumekuelewa umeegemea imani ipi...ha ha ha.
 
Hiiii tz ni under catoliki so wao ndo wanaamua kila kitu sasa kusema serikali haina dini hy ni 100% uongoo

Huo ndio ukweli, huwa tukiuweka humu jamvini Moderator wanazuia maoni yetu. Sijui huwa wanazuia kumfurahisha nani wakati haya mambo sio siri tena watu wote wanayajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…