Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kweli mkuu. Hata Rastafarians tupo wengi tu na vigezo vipo. Bora hawa wa Sunni na Shiite wana baraza. Sisi kila tukikutana kuabudu na kupata mkate wa bwana polisi wanatulamata
NI KWELI MKUU, WAAMBIE HAWA WADINI, DINI ZENYEWE WAMELETEWA, UKIENDA DUBAI AU DOHA UTASHANGAA MAISHA YANVYOKIMBIA KULE WALA HUWEZI KUSIKIA HUU UPUMBAVU WA HAWA WADINI WA BONGO, KUSALI KWENYEWE WANASALI HUKU WANAIBA, WANAFANYA UFUSKA, BASIII SHIDA TUPU, ILA WANAJIFANYA WANAJUA DINI, NA UFISADI, UKATILI WA KIJINSIA, NA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE! SHENZI SANA HAWA WADINI!
 
Tayari wamekwisha anza......

Anyway...


Hivi Tanzania dini ni wakristo na waislamu tu eeeh????
 
AISEE HATA SISI ATHEIST HATUNA HATA MTU MMOJA!! NA SIKU HIZI TUKO WENGI SANA, TUSIOAMINI HIZI DINI ZENU ZILIZOLETWA NA WAMISSIONARY(LIVINGSTONE NA WENZIE) NA AKINA TIPU TIPU, NA KUACHANA NA DINI ZETU ZA ASILI , KAMA MANATAKA UDINI HAMIENI SYRIA AU ISRAEL, IRAN AU SAUDIA, TUACHIENI HILI TAIFA LISILO NA DINI!!!
Mkuu watu kama sisi hata ukisema ugombee huwezi kupata kura hata moja.
 
We demand our rights to worship without fear and intimidation from Babylon.
Mbona waislamu kila siku kuanzia alfajiri ni kelele tu. Hata sisi dini hii isiotuhusu tunaamshwa saa kumi na moja alfajiri.
Wakristo wanakula nyama(mwili ) ya yesu ila fresh tu.
Na ss watoto wa Jah tunaomba tuachwe kwa amani with our sacrament
 
Mkuu watu kama sisi hata ukisema ugombee huwezi kupata kura hata moja.
Kweli kabisa tungoje tu nusra kutoka kwa mungu kosa walisha fanya wazee wetu wakati huo wenzetu walikua wanamtumikia mzugu wazee wetu wanapigania uhuru wa tanganyika
 
Mi naamini mtu ambaye kwenye jambo lolote cha kwanza anakagua dini, basi huyo ndio mdini.
 
Na yule dr dau ambaye mnakosa wa kuvaa viatu vyake nssf vipi?
Je CAG pro asad. Prof njozi. Sheikh Ponda. Mkuu wa Udom ni wa.ga.la ?

Acha kutukandamiza.
Yule wa udom amesambaratisha chuo kwa udini. Pole
 
1.ktk nchi yetu tanzania waislam ni km 44% hawafiki 65% km wanavyo amini
2. Wasiokuwa na dini pia ni wengi ila hawa lalamiki hata siku moja.
3. Usitumie dini kuficha mipango ya kiovu ili waamini washawishike wa chukie viongozi na serikali .
4. Acha kukaa kijiweni na kwenye bao unahesabu waislam wangapi wakabila lake wangapi , chapa kazi .
 
Takwimu ya 65% ya population umeitoa wapi? Binafsi sijawahi kuhisi kama kuna udini serikalini.
 
Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Some of us have only sen Tanzanians being appointed into various positions. My friend had a different idea. Loooking at appointments from religion point of view. Oooh, you are a dangerous person to our country.
 
Binafsi sijawahi hata kuwaza au kufuatilia hizi ratio za udini katika serikali..
Obvious wewe ni mdini ndo maana unawaza sana hilo suala..!
 
Kuna siku Kwenye Ndege tunabadili mawazo na abiria aliyekuwa pembeni yangu. Nikawa naisifia Tanzania kuwa japo tuna makabila mengi ila hatuna ukabila. Pia nikamueleza kuwa Tanzania wakristo na waislamu wanaishi na kushirikiana bila tofauti zozote. Jamaa akaniambia" my friend mark my words, hii dini ya kiislamu ni taabu tupu yaani sehemu hii dini ilipo ni shida tu"
Baada ya huu Uzi wa mleta mada nimeanza kuamini maneno ya jamaa.
Jamani tuwe makini sana na nchii yetu, tuendelee na upendo tulio nao kama watz.
Mada kama hizi za kipuuzi zitatupeleka pabayA.
 
Hata kama akiteua hao unaodai anawabagua je wewe unanufaikaje???

Acha fikra potofu chapa kazi jitafutie kipato maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom