Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kweli ww mbulula ukileta uiano inakuaje angalia hata baraza la mawazir la jk lilikuwaje wakuu wa mikoa wilaya wapi walikua wengi nyinyi mnamfumo wenu toka uhuru wa nchi hii jk alijitahidi lakini uiano haukua sawa japo angalau%35
 
Aliteua viongiozi wa serikali sio viongozi wa dini km unataka hayo mambo ya dini nenda misikitini utapewa hta uimamu
 
Mlizoea Kwa mkwere ndio mana nchi ilioza wacha magu apange safu yake hakuna udini hapo kazi tu
Mkuu una uhakika na ulisemalo waliouwa nchi ni akina nani na wamesoma wap na majipu ya yanyotumbuliwa ni ya upande upi?
 
Yaani nchi zote zenye machafuko duniani chanzo ni hii dini ya kushoto ndio maana angola imepigwa marufuku kabisa na sku nikiwa rais wa hii nchi ntaiga angola
 
Wewe ndo huna akili atasemaje waliomuua kuwa ni udini wakati CIA wenyewe wameshindwa kutoa report ya muusika wa mauwaji,taarifa ya ugaidi iliyo wazi ni ile ya Ambrose mkiristo aliyerusha bomu kanisani,kutwa mlikuwa mnalalamika Dau mdini leo mnakataa kuzungumzia udini??? Ama kweli kafir ni kafir tu
 
yeah Magufuli mi simpi kabisa suala la udini na hana lengo hilo kabisa ila huwa nawalaumu na kuwashangaa wanaompa jk sifa ya udini manaa ukingalia idad ya mawazir wakuu wa mikoa na madc na wakurugenz mbalimbali wa mashirika ya umma wanaoteuliwa na rais bado waislam ni wachache sasa sijui waislam hawatakiwi kabisa au?
 
Haya karume kenge
 
Msaada wachambuzi :

Ngoja tuweke baraza la mawaziri awamu ya nne ya Mh. Jakaya Kikwete November 25, 2010 na wale wanaojadili dini wafanye uchambuzi wao yupi ni yupi na ni asilimia ngapi na pia labda tutaona Rais anapokuwa madarakani anatumia vigezo gani dini, CV, uswahiba, ukanda au nini :


Orodha kamili ya mawaziri na manaibu wao ni kama ifuatavyo:

1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe;

2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira;

3. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Hawa Ghasia;

4. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu;

5. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Luoga Hovisa;

6. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi;

7. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu;

8. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika;

9. Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo;

10. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha;

11. Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani;

12. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe;

13. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi;

14. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Mathayo David Mathayo;

15. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa;

16. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka;
17. Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige;

18. Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja;

19. Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli;

20. Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu;

21. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami;

22. Waziri ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa;

23. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,

Dk. Haji Hussein Mpanda;

24. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka;

25. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba;

26. Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Emmanuel John Nchimbi;

27. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel John Sitta;

28. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe;

29. Waziri wa Maji; Prof. Mark Mwandosya

MANAIBU

1. Aggrey Mwanri;Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi),

2. Kassim Majaliwa;Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Elimu),

3. Gregory Teu;Naibu Waziri Wizara ya Fedha,

4. Pereira Ame Silima;Naibu Waziri Wizara ya Fedha,

5. Balozi Khamis Suedi Kagasheki;Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani,

6. Mahadhi Juma Mahadhi; Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje,

7. Uvuvi, Benedict Ole Nangoro; Naibu Waziri Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

8. Charles Kitwanga;Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,

9. Goodluck Ole Madeye;Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,

10. Adam Kigoma Malima;Naibu Waziri Wizara ya wa Nishati na Madini,

11. Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,

12. Athumani Mfutakamba; Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi

13. Lazaro Nyalandu;Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara,

14. Philipo Mulugo;Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,

15. Dk. Lucy Nkya; Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
16. Makongoro Mahanga; Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira,

17. Umi Ali Mwalimu; Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,

18. Dk. Fenella Mukangara; Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,

19. Dk. Abdallah Juma Abdallah; Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki,

20. Christopher Chiza; Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika,

21. Eng. Gerson Lwinge; Naibu Waziri Wizara ya Maji.

Wakongwe ambao wametupwa nje ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Seif Khatib Mohammed, ambaye amekuwa kwenye Baraza la Mawaziri tangu awamu ya pili ya Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Pia mkongwe mwingine aliyeachwa ni Profesa Juma Kapuya ambaye alikuwa Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, akiwa amekaa kwenye Baraza tangu mwaka 1995 Rais Benjamin Mkapa alipoingia madarakani.

Mwingine ni Profesa Peter Msolla, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, huyu aliingia na serikali ya Awamu ya nne, Januari 2006; Profesa David Mwakyusa aliyekuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, ambaye pia aliingia awamu ya nne.

Katika orodha ya walioachwa yumo pia John Chiligati, aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, huyu alianza akiwa naibu tangu awamu ya tatu ya Rais Mkapa na Margaret Sitta, aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, aliingia na awamu ya nne.

Kundi hili linaungana na wale walioangushwa kwenye mchakato wa uchaguzi ambao ni Lawrence Masha (Mambo ya Ndani); Shamsa Mwangunga (Maliasili na Utalii); Diodorus Kamala (Ushirikiano wa Afrika Mashariki), Dk. Batilda Buriani (Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira) na Philp Marmo aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.

Pia wapo manaibu walioachwa akiwamo mkongwe kwenye wadhifa huo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Dk. Maua Daftari ambaye amekuwa kwenye nafasi hiyo tangu awamu ya Rais Mkapa; Hezekiah Chibulunje aliyekuwa Miundombinu naye alianza na awamu tatu na Jeremiah Sumari, aliyekuwa Naibu Fedha na Uchumi.

Source: IPPMEDIA Home
 
Jina Lake la sasa anaitwa Baba Askofu magufuli
 
Kuna watu ambao si Watanzania, aidha kuna mahali Zaidi ya mitandaoni kuna Radicalization, ambayo haita fanya kazi, but only and only if kuna watu wataamini wanaonewa na Wakristo, kimantiki haiingi akilini mtu si ambaye si mwanachama wa NSSF, haifahamu NSSF how it work Zaidi kuisikia hana uhusiano na mtu XXX wa NSSF au YYY wa PSPF lakini analalamikia uteuzi wa Rais kuwa utaligawa Taifa kwa Udini, Taifa ambalo technically watu wake wote wataenda Motoni kwa huyo mungu. Kuna kitu hakipo sawa EA.. Jamiiformus anzeni Kutrack watu humu.
 
Yaani nchi zote zenye machafuko duniani chanzo ni hii dini ya kushoto ndio maana angola imepigwa marufuku kabisa na sku nikiwa rais wa hii nchi ntaiga angola
Huna unalolijua ,huna unachoona poor minded ,kupoteza muda kuendelea kubishana na ww
 
Umetoa rai nzuri mkuu, ni vema tusitoe nafasi ya kuwapa watu agenda na wao wakajifanya "wanathibitisha" madai yao fulani. Dini zina nguvu sana na wala Si za kupuuzwa.
 
Mkuu usianze kumlaumu JPM acha afanye kaz na kupanga safu yake itakayomsaidia mi sion ubaya hapo jamaa hashuguliki na mambo ya dn kabisa ukilinganisha na awamu zetu zile mbili
 
Eti tupo 65%??. Hiyo sensa ya dini ilifanyika lini?Vyovyote vile. Tanzania inahitaji maendeleo. Haijalishi yataletwa na kiongozi kwenye dini gani. Hakuna barabara ya mkristo, au daraja la waisilamu. Hakuna hosipitali ya wagalatia au maabara za wathesalonike. Tanzania kwanza!
 
Kumbe kunamijitu mitahila kama hili !! EB sasa ona umesema hujui ametumia kigezo gan sasa unakuja kubwabwaja nn "!uongoz ni vigezo cyo dini au unataka turud kulelkule kwa Jana!!Kweli nchi hii kuendelea kunashida ili hali kuna mijitu mihayawan kama hili isiyoangalia maslahi ya nchi ila muda ote inaongelea dini kwani uislam n nn!! Mbona wasabato hawasemi,wala wenye dini za asili yaan hawa watumwa wa waarab wanashida!! Kwa akili kiduchu kaa yako nani akupe uongozi
 
NAKUHAKIKISHIA HII SI SOMALIA WALA YEMEN, TANZANIA TECHNICALLY WE HAVE OUR PLACE AT JEHNAM, WE WONT BOTHER TO FIGHT, HISTORICAL BACKGROUND HAS PLACE IN SECTERAN VIOLENCE BUT WE ARE NOT PART OF DE JA VU.
 
Mkuu D
Mkuu Deodorus Kamala hajaangushwa ni mbunge wa jimbo la Nkenge kwasasa
 
Nilijua mtakuja kwa wingi hizo sera zenu na uongo wenu ulisha pitwa na wakati waislam wapo wengi na wanaelimu ya kutosha ila hawapewi nafac kama teuzi vigezo ni majina sawa john pita ndani saidi nje sawa
Ya nini kuteuwa watumwa ni bora kuweka wasio na dini kuliko nyie wenye dini za slave master
 
Wapi bwana chunguza vizuri.
jpm anapanga wakatoliki tu. Mfumo kristo unafanya kazi

Poleee unaehangaika kupigania dini badala ya Mungu!! Saaa kaa mungu n mmoja tatzo nn au unaingilia beef za wazungu na waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…