Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?

Tunasema Serikali ya Tanzania haina dini lakini watu wake wana dini. Vipi hii.?

Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?

Mnaanza wafia Dini. Mlinisababishia ban, pita tu.
 
Wale wale walikuwa wakimshutumu JK mdini leo Ndio wanabana pua kukemea udini!! ,
Teuzi za Jk hazikuwa na udini hata kidogo, Lakini huyu udini uko wazi kabisa Lakini wale wale nyumbu wa udini eti leo wanakemea watu kusema udini,
Baraza la mawaziri, naibu waziri, katibu wakuu, naibu katibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, viongozi wa majeshi ya ulinzi, nina hakika 90% ni kristo, halafu eti tunyamaze hapa hatutanyamaza ikifikia kupigania haki yetu wala hatuogopi, kama nchi yetu sote lazima ionyeshe sura ya umoja, Pale Tanesco Ndio Dayosisi nzima iko pale,
wao wanakuja na blablaa kibao eti waisalam hawajasoma,sijui takwimu hizi nani anawadanganya kuna waislam wana run organization kubwa na wanatambulika kimataifa kwa kazi na uweledi wao,mfano mkurugenzi wa Ifakara Health Institute
 
Dodoma,Rukwa,Ruvuma,Iringa,Njombe,Shinyanga,Geita,Same,Mara kuna maendeleo gani?
Moshi, Arusha, Mwanza, Mbeya kuna maendeleo makubwa sana... Iringa, Same unafananisha na Lindi au Pwani??
 
Mkuu, kama uzi wa namna hiyo upo humu si ungeutoa kwa ajili ya reference? Maneno mengi yasikua na ushahidi sometimes hua inaonekanaga kama ni kelele. Weka ushaidi wa profesa Asad na malalamiko ya Wakristo kwamba hata humu yalikuwepo.
Usipende kubisha kila kitu,JF hatujajiunga leo tumeshuhudia mengi humu.Ukiondoa hayo tumeshuhudia mengi mpaka baadhi ya viongozi wa nchi wenye imani za kiislamu kuzushiwa mambo ya ajabu kama kuuza tausi wa ikulu n.k

Hatuko hapa kumchafua wala kumsingizia mtu jambo.

Kwa ushahidi kabisa alipoteuliwa Jaji Othman Chande wakristo wenzako hapa walikaukiwa mate.Wengine walifika mbali mpaka wakasema ni ushawishi wa Othman Rashid.Sisi hapa tumeshusha data sio mambo ya kuhisi.Jahazi hili linaelemea upande mmoja.Hili jambo halileti picha nzuri ukizingatia shule na vyuo walivyoenda hao wateule hata sisi tumeenda.
 
Nyie ndiyo wale mnaokesha vyuoni vya kufundisha ilimu akhera at the same time ukirudi mtaani unasema umetoka shule so unataka kazi.
Tofautisha Dini na Professional carrier

Sasa nyinyi waimba kwaya mna proffessional carrier gan bana zaid ya wizi na ufisadi?

Mkae pemben sasa nchi hii tokea uhuru mmjezana huko na kujenga dayosis hakuna cha maana mnachofanya zaid ya wizi na ufisadi

Thats why jamaa yenu anawaita majipuu...

Mnajua nin nyinyi zaid ya wizi?

Mnasema eti mmesoma...mmesoma mmekariri tuh nyinyi vibaka wa nchi hii
 
Tatizo ni unafiki wa wala NGURUWE, wakati wa jk mbona matamko yalikuwa mengi sana sahv kimya
Mbona wakati wa JK mlikuwa kimya na sasa hivi kelele kibao, huo si unafiki wa wala nguruwe kimyakimya?
 
waislam wao ni kelele all days
kutwa ni kushinda kwenye mabao na kwenye madrafti wakiishi mjini kwa chuma ulete.....
ukiangalia miji ya kiislam kma lindi,zanzbar,kilwa hamnaga maendeleo wamekalia uchawi na kusomea wenzao duaah waspate maendeleo.......
akina john wanaangaikia masters nk.......alaf baadae wanaanza kelele.......

Sasa wewe ndio unajiita umeelimika eti zanzibar ni MJI?! Huko shule ulienda kusoma nini??
 
Na litamzamia hili jahazi

Atake asitake magufuli jahaz hili litamzamia

Kama udini huu ambao sisi tumeanza kuupiga vita tokea zama za nyerere mchonga yeye anataka kuurudisha basi hatofika mbali

Lazima atambue nchi hii siyo mali ya kanisa na kila watu wana nafas ya kushiriki katika cake ya taifa na utumish wa umma

Mambo ya kugeuza ofis za umma kuwa vigango vya kanisa au dayosisi haitavumiliwa hata kidogo.
Usipende kubisha kila kitu,JF hatujajiunga leo tumeshuhudia mengi humu.Ukiondoa hayo tumeshuhudia mengi mpaka baadhi ya viongozi wa nchi wenye imani za kiislamu kuzushiwa mambo ya ajabu kama kuuza tausi wa ikulu n.k

Hatuko hapa kumchafua wala kumsingizia mtu jambo.

Kwa ushahidi kabisa alipoteuliwa Jaji Othman Chande wakristo wenzako hapa walikaukiwa mate.Wengine walifika mbali mpaka wakasema ni ushawishi wa Othman Rashid.Sisi hapa tumeshusha data sio mambo ya kuhisi.Jahazi hili linaheremea upande mmoja.
 
Sasa wewe ndio unajiita umeelimika eti zanzibar ni MJI?! Huko shule ulienda kusoma nini??
Shule aitoe wapi huyo,asilimia 70% ya wanajiita wasomi wamefoji vyeti.Cheti kimoja kimetumiwa na watu 10 tofauti kuomba kazi.NIDA wamegundua katika kutoa vitambulisho jina moja lina appear mara 10 kwa watu tofauti.
 
Serikali ya Tanzania Ina DINI Ndio maana unakuta kuna siku Za mapumziko Kama ikitokea sikukuu ya Dini Fulani imeingia siku ya kazi.

Siku wakifuta hizi siku Za mapumziko itakua pamoja Na Taasisi Kama bakwata,Moa Na kufuta misamaha yote ya kodi itakua imejitoa kwenye Dini.

Yale maneno ya Nyerere kuwapumbaza Wadanganyika apate kufanya yake Ndio yalipolifikisha Taifa hili kuwa Na wajinga wengi Afrika Mashariki.
 
Moshi, Arusha, Mwanza, Mbeya kuna maendeleo makubwa sana... Iringa, Same unafananisha na Lindi au Pwani??

Maendeleo ya sehemu husika hutegemea na mipango ya serikali

Hii miji uliyoisema ambayo unasema weengi wa wakazi wa huko ni wagalatia unaiona ina maendeleo siyo kwa sababu wakazi wa huko wanapiga kaz au wanajituma zaid kushinda sehemu hizo zingine

Jibu ni kwa sababu mliojaa serikalin ni wakristo na kwa sababu ya chuki zenu mnaamua kwa makusud vipaombele vya serikali mvipeleke kwenu huko mnakosema kuna dayosisi zenu na huku mkisahau kabisa kuwa wapo wakristo wenzenu wanaoish huko
Moshi, Arusha, Mwanza, Mbeya kuna maendeleo makubwa sana... Iringa, Same unafananisha na Lindi au Pwani??
 
Na litamzamia hili jahazi

Atake asitake magufuli jahaz hili litamzamia

Kama udini huu ambao sisi tumeanza kuupiga vita tokea zama za nyerere mchonga yeye anataka kuurudisha basi hatofika mbali

Lazima atambue nchi hii siyo mali ya kanisa na kila watu wana nafas ya kushiriki katika cake ya taifa na utumish wa umma

Mambo ya kugeuza ofis za umma kuwa vigango vya kanisa au dayosisi haitavumiliwa hata kidogo.
mnajitia hisia...........
na bado axeeee mtawewesedka sana na kanisa,....
nchi hii bila wakristo haiendi
 
Na litamzamia hili jahazi

Atake asitake magufuli jahaz hili litamzamia

Kama udini huu ambao sisi tumeanza kuupiga vita tokea zama za nyerere mchonga yeye anataka kuurudisha basi hatofika mbali

Lazima atambue nchi hii siyo mali ya kanisa na kila watu wana nafas ya kushiriki katika cake ya taifa na utumish wa umma

Mambo ya kugeuza ofis za umma kuwa vigango vya kanisa au dayosisi haitavumiliwa hata kidogo.

Maalim bigshoo "majipu" yana tafsiri tofauti kwa watu tofauti. Mtaani wanasema na mshukuru hata hao waislam 5 kwa kuwa 3 miongoni mwao ambao ni wanawake "aliombwa" na bibi Samia....otherwise ingekuwa kasheshe.
 
Hii vita ina cut across kwa kila mtu...kila dini

Tukiamua tumeamua...Na ninyi mmeingiza serikali hasara sana....kwa mtindo wenu wa kubebana...Tutamsaidia Rais kwa nguvu zote....Read my words between the line

Katika serikali ya kikwete baraza la mawaziri wakristo mlijaaa

Makatibu na manaibu katibu wakuu mlijaa

Wakuu wa mikoa na wilaya mlijaa

Infact mlijaa kila idara je mmelifanyia nin taifa hili zaid ya wizi na ufisadi?

Je mmesahau hata esrow jins mlivotumia hadi maaskofu na makanisa kuliibia taifa hili?

Vita kubwa ambayo anayo magufuli kwanza ni kuwatumbua majipu nyinyi waimba kwaya wenzake

Vita na uislam na waislam hataiwezaa
 
Back
Top Bottom