njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
theme umeelewa lkn?????????
Theme gani? Wewe unadai umeelimika na unadai zanzibar ni Mji?! .. Sijui elimu gani uliyokuwa nayo.. Ni sawa kuita kenya mji, rusia mji... Ati mji wa zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
theme umeelewa lkn?????????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mhubiri wa kiislamu (MJAHIDINA) wakati wa mkapa akiwa kwenye mhadhara alitukana sana asema WAISLAMU KAMA YEYE WENYE UWEZO hawapewi nafasi wanapewa watu wasio na uwezo tu kwa kuwa ni wakristo.Akatukana sana polisi wakamdaka wakampeleka kituoni.
Kufika kituoni kumbe mtu mwenyewe hajui kusoma wala kuandika !!
Polisi wakamwambia wewe ndio ulisema wamekuacha wewe wakati una sifa wakati hujui hata kusoma na kuandika? akaanza kucheka akasema niachieni nihurumieni mwenzenu nalipwa na naishi kwa kazi hii ya kupiga kelele majukwaani.Wakamwachia kwa kumhurumia
Ndugu,Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?
Tunasema Serikali ya Tanzania haina dini lakini watu wake wana dini. Vipi hii.?
Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?
Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?
Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?
Mimi nachojiuliza tokea walipoanza kugeuza ofis za umma kuwa dayosisi na vigango hawajatosheka tuh?
Maana hakuna cha maana wanachofanya zaid ya kuiba pesa za umma na kuzipeleka kwenye sadaka huku wakiungama dhambi zao
Bure kabisa hawa jamaa
Actually ni upumbavu...... hata wale waliokuwa wanaleta chokochoko za udini kwa Jk ni wapumbavu tu...Hivi dini ndo inayofanya kazi au utendaji wa mtu. Hoja ya udini sijui nini haina mashiko kabisa
kwasababu Mungu hana dini bali Mungu ni wa wote wamuaminio na kuzifata amri zakeSerikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?
Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?
Hivi wakati ule JK alivyomteua Assad mbona watu walibweka udini humu, kwa nini hawakuangalia kwamba naye ni mtanzania na ana vigezo?.
Halafu Watu wenye ujuzi, uzalendo na vigezo wanapatikana katika dini zote, kwa nini kila teuzi Waislamu wawe wa kuokotezaokoteza?.
Sidhani kuwa hii ni bahati mbaya, bali ni mfumo unaojengwa au uliojengwa kiudiniudini!
Weka takwimu hapa wenye MASTERS ZA ELECTRICAL ENGINEERING TANESCO WAISLAMU WAKO WANGAPI NA WAKRISTO WAKO WANGAPI.weka hapa.
Ulitaka karani wa masjala asiye na digrii ya umeme apewe kuwa injinia mkuu wa mkoa kwa sababu yeye ni dini fulani tu na huwa anaswali swala tano?
Wagalatia bana akishambuliwa Dau sawa lakini wakiguswa Wakirsto mnawaka mnaita ujinga daah!!!
Kwanini hauweki Wewe?
maongezi yako tu yanaonesha wewe mdin OVER[emoji350]Ttatizo mnapenda kubebwa bebwa,
Wanawake wabebwe kwa kupewa nafasi maalumu na nyie nao??
JK aliwajengea shule huko kwao mkoani Pwani wazee wakachoma shule, akawapelekea umeme kulikua hakuna umeme na bandari mpya mijitu siku anaondoka madarakani inamuuliza mzee unatuachaje mbona hujatufanyia la maana??
Hata JK mwenyewe alibaki amechoka.
Pole sana dogo, karibu JF jukwaa ambalo tuna uhuru wa kuzungumza.maongezi yako tu yanaonesha wewe mdin OVER[emoji350]