Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Hanna uwiano wa ulivyovitaja, ningeshauri wateuzi wake wote wawe wasukuma.
 
HII DINI INAPENDA KULALAMIKA SANA UTAFIKIRI MWANAMKE MWENYE HAMU YA KUGONGWA
 
Mkuu D
Mkuu
Deodorus Kamala hajaangushwa ni mbunge wa jimbo la Nkenge kwasasa
Nimenukuu habari ya mwaka 2010, Nov 25 , kama kuna makosa kwa Mheshimiwa Deodorus Kamala basi nisamehe kubwa ni kuona baraza la mawaziri mwaka 2010 lilikuwa vipi source IPPMEDIA

Msaada wachambuzi :

Ngoja tuweke baraza la mawaziri awamu ya nne ya Mh. Jakaya Kikwete November 25, 2010 na wale wanaojadili dini wafanye uchambuzi wao yupi ni yupi na ni asilimia ngapi na pia labda tutaona Rais anapokuwa madarakani anatumia vigezo gani dini, CV, uswahiba, ukanda au nini :

Orodha kamili ya mawaziri na manaibu wao ni kama ifuatavyo:

1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe;

2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira;

3. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Hawa Ghasia;

4. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu;

5. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Luoga Hovisa;

6. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi;

7. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu;

8. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika;

9. Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo;

10. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha;

11. Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani;

12. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe;

13. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi;

14. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Mathayo David Mathayo;

15. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa;

16. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka;
17. Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige;

18. Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja;

19. Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli;

20. Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu;

21. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami;

22. Waziri ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa;

23. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,

Dk. Haji Hussein Mpanda;

24. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka;

25. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba;

26. Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Emmanuel John Nchimbi;

27. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel John Sitta;

28. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe;

29. Waziri wa Maji; Prof. Mark Mwandosya

MANAIBU

1. Aggrey Mwanri;Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi),

2. Kassim Majaliwa;Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Elimu),

3. Gregory Teu;Naibu Waziri Wizara ya Fedha,

4. Pereira Ame Silima;Naibu Waziri Wizara ya Fedha,

5. Balozi Khamis Suedi Kagasheki;Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani,

6. Mahadhi Juma Mahadhi; Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje,

7. Uvuvi, Benedict Ole Nangoro; Naibu Waziri Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

8. Charles Kitwanga;Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,

9. Goodluck Ole Madeye;Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,

10. Adam Kigoma Malima;Naibu Waziri Wizara ya wa Nishati na Madini,

11. Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,

12. Athumani Mfutakamba; Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi

13. Lazaro Nyalandu;Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara,

14. Philipo Mulugo;Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,

15. Dk. Lucy Nkya; Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
16. Makongoro Mahanga; Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira,

17. Umi Ali Mwalimu; Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,

18. Dk. Fenella Mukangara; Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,

19. Dk. Abdallah Juma Abdallah; Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki,

20. Christopher Chiza; Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika,

21. Eng. Gerson Lwinge; Naibu Waziri Wizara ya Maji.

Wakongwe ambao wametupwa nje ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Seif Khatib Mohammed, ambaye amekuwa kwenye Baraza la Mawaziri tangu awamu ya pili ya Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Pia mkongwe mwingine aliyeachwa ni Profesa Juma Kapuya ambaye alikuwa Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, akiwa amekaa kwenye Baraza tangu mwaka 1995 Rais Benjamin Mkapa alipoingia madarakani.

Mwingine ni Profesa Peter Msolla, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, huyu aliingia na serikali ya Awamu ya nne, Januari 2006; Profesa David Mwakyusa aliyekuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, ambaye pia aliingia awamu ya nne.

Katika orodha ya walioachwa yumo pia John Chiligati, aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, huyu alianza akiwa naibu tangu awamu ya tatu ya Rais Mkapa na Margaret Sitta, aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, aliingia na awamu ya nne.

Kundi hili linaungana na wale walioangushwa kwenye mchakato wa uchaguzi ambao ni Lawrence Masha (Mambo ya Ndani); Shamsa Mwangunga (Maliasili na Utalii); Diodorus Kamala (Ushirikiano wa Afrika Mashariki), Dk. Batilda Buriani (Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira) na Philp Marmo aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.

Pia wapo manaibu walioachwa akiwamo mkongwe kwenye wadhifa huo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Dk. Maua Daftari ambaye amekuwa kwenye nafasi hiyo tangu awamu ya Rais Mkapa; Hezekiah Chibulunje aliyekuwa Miundombinu naye alianza na awamu tatu na Jeremiah Sumari, aliyekuwa Naibu Fedha na Uchumi.

Source: IPPMEDIA Home
 
Suala la dini si kigezo cha kupewa uongozi katika serikali ya Magufuli. Kigezo kikuu uchapakazi unaoendana na dhana ya hapa kazi tu.
 
Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Tafiti zip zinaonesha idadi ya watu kwa dini zao?????
Acha uf_ra..
 
Bora yenu nyie mmo kwenye orodha sisi tusio na dini hamna hata mmoja kwa kweli kama vigezo ni dini na sisi tuangaliwe.
 
Acheni kulalamika mkafanye kazi,hayo mawazo ya nchi kuendeshwa kidini ni mawazo ya watu wavivu,wasio na fikra za kufikiri,wachonganishi na kutaka kujifanya wao ni bora zaidi ya wengine.Mbadilike maana mtalalamika hadi siku ya hukumu kwa Mungu kwamba anawapendelea wakristo
 
Athumani au Hamisi au John au Joseph akipewa au kunyimwa ukuu wa mkoa, wewe unafaidika au kupungukiwa na nini!!?

Mitanzania bhana!
 
Miaka 10 ya Rais Kikwete: Ateua mawaziri 120 , je lilikuwa la aina gani CV uswahiba au vipi

Kwa mujibu wa mapitio ya Mwananchi, Rais Kikwete aliachana na mawaziri 63 kwa sababu tofauti, wakati amedumu na mawaziri 16 tu tangu mwaka 2005 alipoingia Ikulu.

Hivi sasa Baraza la Mawaziri lina mawaziri 55, wakiwamo 16 ambao alianza nao tangu alipotangaza baraza lake la kwanza la mawaziri mwaka 2005.

Waliopo sasa ni Dk Binilith Mahenge, Ummy Mwalimu, Saada Mkuya, Mwigulu Nchemba, Adam Malima, Dk Asha-Rose Migiro, Janet Mbene, Dk Seif Rashid, Dk Stephen Kebwe, Jenista Mhagama, Dk Pindi Chana, Dk Titus Kamani na Kaika Telele.

Wengine ni George Simbachawene, Amos Makala, Godfrey Zambi, Juma Nkamia, Lazaro Nyarandu, Mahmoud Mgimwa, Charles Kitwanga, Charles Mwijage, Anna Kilango- Malecela, Angela Kairuki, Stephen Masele, William Lukuvi na Profesa Makame Mbarawa.

Pia wamo Samwel Sitta, Dk Abdulla Juma Abdulla, Mahadhi Juma Maalim, Pereira Ame Silima, Dk Abdallah Kigoda, Dk Fenella Mukangara, Gerson Lwenge, Dk Charles Tzeba, Dk Harrison Mwakyembe, January Makamba, George Mkuchika na Samia Suluhu Hassan.

Mawaziri ambao Rais Kikwete alianza nao na wapo mpaka sasa ni Sofia Simba, Profesa Mark Mwandosya, Stephen Wasira, Dk Hussein Mwinyi, Dk John Magufuli na Aggrey Mwanry.

Wengine ni Profesa Jumanne Maghembe, Dk Shukuru Kawamba, Hawa Ghasia, Dk Mary Nagu na Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye katika Baraza la kwanza, alikuwa naibu waziri na baadaye waziri wa Tamisemi.

Mawaziri wengine alioanza nao mwaka 2005 wakiwa naibu mawaziri ni Gaudencia Kabaka, Bernard Membe, Celina Kombani, Christopher Chiza, Mathias Chikawe na Dk Makongoro Mahanga ambaye tangu 2005 mpaka sasa bado ni naibu waziri.

Mawaziri wengine

Mawaziri waliotemwa au kujiuzulu tangu Rais Kikwete aingie madarakani, wakiwamo wale walioshindwa katika kinyang’anyiro cha ubunge ni Edward Lowassa, Antony Diallo, Dk Ibrahim Msabaha, Basil Mramba, John Chiligati, Andrew Chenge, Joseph Mungai, Dk Emmanuel Nchimbi, Lawrence Masha, Mustafa Mkulo, William Ngeleja, Dk Cyril Chami, Omary Nundu, Bakari Mwapachu na Kingunge Ngoimbale-Mwiru.

Wengine ni Ezekiel Maige, Dk Hadji Mponda, Dk Teresa Huvisa, Shamsi Vuai Nahodha, Nazir Karamagi, Dk Mathayo David, Balozi Khamis Kagasheki, Profesa Anna Tibaijuka, Profesa Sospeter Muhongo, Dk Batilda Buriani, Joseph Mungai, Diodorus Kamala, Mohamed Seif Khatib, Mwantumu Mahiza, Profesa Peter Msola na Profesa David Mwakyusa, Philip Marmo na Dk Juma Ngasongwa.

Manaibu waziri ni Dk Luca Siyame, Balozi Seif Ally Idd, Hezekiah Chibulunje, Shamsa Mwangunga, Daniel Nsanzugwanko, Hezekiah Chibulunje, Rita Mlaki, Dk Charles Mlingwa, Zabein Mhita, Dk Athuman Mfutakamba, Dk Lucy Nkya, Goodluck Ole Medeye, Benedict Ole Nangoro, Gregory Teu, Philipo Mulugo, Mohamed Abood, Dk Aisha Kigoda, Omari Yusuf Mzee, Dk Maua Daftari, Zakia Meghji, Joel Bendera, Abdisalaam Issa Khatib na James Wanyancha, Gaudence Kayombo, Mudhihir Mudhihir.

Mawaziri waliofariki dunia katika kipindi hicho ni Salome Mbatia, Juma Akukweti, Jeremiah Sumari na Dk William Mgimwa.

Mwaka 2006

Katika baraza lake la kwanza Rais Kikwete aliteua mawaziri na naibu mawaziri 60 Januari 2006 na ilipofika Oktoba 2006, Rais Kikwete alifanya mabadiliko ya kwanza makubwa ya baraza lake la mawaziri kwa kuwahamisha vituo vya kazi mawaziri 10 na naibu mawaziri wanane. Katika mabadiliko hayo hakuna waziri aliyeachwa.

Mwaka 2007

Februari 2007, Rais Kikwete alifanya uteuzi wa mawaziri wawili na manaibu wawili. Alimteua Dk Buriani kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Uratibu) kujaza nafasi iliyoachwa wazi baada ya kifo cha Akukweti. Ngeleja aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Kayombo aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mipango, Uchumi na Uwekezaji.

Mwaka 2008

Februari 12, 2008 Rais Kikwete alivunja Baraza la Mawaziri baada ya kujiuzulu kwa Lowassa, Dk Msabaha na Karamagi. Nafasi zao zilizibwa na Ngeleja (Nishati na Madini), Dk Kamala (Afrika Mashariki), huku Pinda akiteuliwa kuchukua nafasi ya Lowassa.

Mei 2008

Baada ya Chenge kujiuzulu Mei, 2008 kutokana na kashfa ya ununuzi wa rada na nafasi yake kujazwa na Mbunge wa Bagamoyo, Dk Kawambwa, Rais Kikwete pia alibadilisha mawaziri kadhaa.

Mwaka 2012

Rais Kikwete alifanya mabadiliko Mei 2012 kwa kuwaondoa Mkulo (Fedha), Ngeleja (Nishati na Madini), Dk Mponda (Afya na Ustawi wa Jamii), Maige (Maliasili na Utalii), Nundu (Uchukuzi) na Dk Chami (Viwanda na Biashara). Dk Mfutakamba (Naibu, Uchukuzi) na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Nkya.

Badala yao aliwateua Dk Mgimwa (Fedha), Balozi Kagasheki (Utalii), Dk Mwakyembe (Uchukuzi), Dk Kigoda (Viwanda na Biashara), Dk Mwinyi (Afya), Profesa Muhongo (Nishati na Madini), Dk Seif Rashid (Naibu, Afya) na George Simbachawene (Naibu, Nishati na Madini).

Manaibu wapya walioingia ni Makamba (Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia), Dk Tzeba (Uchukuzi) na Makala (Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo). Wengine ni Dk Mahenge (Maji), Masele (Nishati na Madini), Kairuki (Katiba na Sheria), Mbene na Mkuya (Fedha).

Januari 2014

Rais Kikwete alifanya mabadiliko mengine Januari 19, 2014 kwa kuteua mawaziri wapya wawili na naibu mawaziri wapya wanane, huku akiwapandisha vyeo manaibu mawaziri wanne kuwa mawaziri kamili.

Aliwapumzisha Dk Huvisa, Teu, Mulugo, Ole-Nangoro na Ole-Medeye.

Mabadiliko hayo yalikuwa yanalenga kujaza nafasi zilizoachwa na Balozi Kagasheki, Dk Nchimbi, Nahodha na Dk Mathayo waliotemwa Desemba 2013 kutokana na kashfa ya Operesheni Tokomeza na nafasi ya Dk Mgimwa, aliyefariki dunia kutokana na maradhi.

Mawaziri wapya walioteuliwa wakati huo ni Dk Migiro, Dk Kamani, Nchemba, Dk Kebwe, Mhagama, Dk Chana, Telele, Zambi, Nkamia na Mgimwa.

Waliopandishwa kuwa mawaziri ni Mkuya, Nyalandu, Dk Rashidi, Dk Mahenge na Dk Mwinyi aliyehamishwa kutoka Afya na Ustawi wa Jamii kwenda Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na wengine kadhaa walihamishwa.

Januari 2015

Rais alifanya mabadiliko yake yanayoweza kuwa ya mwisho Januari 2015, akijaza nafasi zilizoachwa wazi na mawaziri wawili, Profesa Tibaijuka (kufutwa kazi) na Profesa Muhongo kujiuzulu kutokana na kuhusishwa na kashfa ya Tegeta Escrow.

Walioingia ni manaibu waziri wawili, Mwijage (Nishati na Madini) na Kilango- Malecela (Elimu na Mafunzo ya Ufundi), huku wengine wakihamishwa.

Source: Miaka 10 ya Rais Kikwete: Ateua mawaziri 120
 
Msaada wachambuzi :

Ngoja tuweke baraza la mawaziri awamu ya nne ya Mh. Jakaya Kikwete November 25, 2010 na wale wanaojadili dini wafanye uchambuzi wao yupi ni yupi na ni asilimia ngapi na pia labda tutaona Rais anapokuwa madarakani anatumia vigezo gani dini, CV, uswahiba, ukanda au nini :

Orodha kamili ya mawaziri na manaibu wao ni kama ifuatavyo:

1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe;

2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira;

3. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Hawa Ghasia;

4. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu;

5. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Luoga Hovisa;

6. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi;

7. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu;

8. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika;

9. Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo;

10. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha;

11. Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani;

12. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe;

13. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi;

14. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Mathayo David Mathayo;

15. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa;

16. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka;
17. Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige;

18. Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja;

19. Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli;

20. Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu;

21. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami;

22. Waziri ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa;

23. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,

Dk. Haji Hussein Mpanda;

24. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka;

25. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba;

26. Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Emmanuel John Nchimbi;

27. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel John Sitta;

28. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe;

29. Waziri wa Maji; Prof. Mark Mwandosya

MANAIBU

1. Aggrey Mwanri;Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi),

2. Kassim Majaliwa;Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Elimu),

3. Gregory Teu;Naibu Waziri Wizara ya Fedha,

4. Pereira Ame Silima;Naibu Waziri Wizara ya Fedha,

5. Balozi Khamis Suedi Kagasheki;Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani,

6. Mahadhi Juma Mahadhi; Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje,

7. Uvuvi, Benedict Ole Nangoro; Naibu Waziri Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi

8. Charles Kitwanga;Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,

9. Goodluck Ole Madeye;Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,

10. Adam Kigoma Malima;Naibu Waziri Wizara ya wa Nishati na Madini,

11. Dk. Harrison Mwakyembe; Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi,

12. Athumani Mfutakamba; Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi

13. Lazaro Nyalandu;Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara,

14. Philipo Mulugo;Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,

15. Dk. Lucy Nkya; Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
16. Makongoro Mahanga; Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira,

17. Umi Ali Mwalimu; Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,

18. Dk. Fenella Mukangara; Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo,

19. Dk. Abdallah Juma Abdallah; Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki,

20. Christopher Chiza; Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika,

21. Eng. Gerson Lwinge; Naibu Waziri Wizara ya Maji.

Wakongwe ambao wametupwa nje ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Seif Khatib Mohammed, ambaye amekuwa kwenye Baraza la Mawaziri tangu awamu ya pili ya Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Pia mkongwe mwingine aliyeachwa ni Profesa Juma Kapuya ambaye alikuwa Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, akiwa amekaa kwenye Baraza tangu mwaka 1995 Rais Benjamin Mkapa alipoingia madarakani.

Mwingine ni Profesa Peter Msolla, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, huyu aliingia na serikali ya Awamu ya nne, Januari 2006; Profesa David Mwakyusa aliyekuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, ambaye pia aliingia awamu ya nne.

Katika orodha ya walioachwa yumo pia John Chiligati, aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, huyu alianza akiwa naibu tangu awamu ya tatu ya Rais Mkapa na Margaret Sitta, aliyekuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, aliingia na awamu ya nne.

Kundi hili linaungana na wale walioangushwa kwenye mchakato wa uchaguzi ambao ni Lawrence Masha (Mambo ya Ndani); Shamsa Mwangunga (Maliasili na Utalii); Diodorus Kamala (Ushirikiano wa Afrika Mashariki), Dk. Batilda Buriani (Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira) na Philp Marmo aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.

Pia wapo manaibu walioachwa akiwamo mkongwe kwenye wadhifa huo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Dk. Maua Daftari ambaye amekuwa kwenye nafasi hiyo tangu awamu ya Rais Mkapa; Hezekiah Chibulunje aliyekuwa Miundombinu naye alianza na awamu tatu na Jeremiah Sumari, aliyekuwa Naibu Fedha na Uchumi.

Source: IPPMEDIA Home
Waje hapa wanaosema kikwete alijaza waislam tatizo akiwepo tu mwislam kwenye wakristo mia anaonekana sana mwislam
 
Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
kamanda ondoa upuuzi wa udini hapa. mimi ni mwislam lakini sijawahi kufikiri tambo hilo. wewe lazima utakuwa mdini tuu
 
Zamani katika nchi ya Kusadikika watu waliwabishia sana masheikh wao kuhusu uwepo wa mfumo Kristo katika nchi hiyo, lakini sasa kwa haya wanayoyaona itabidi wakawaombe msamaha!.

Ukiachilia mbali teuzi za mawaziri, Makatibu wakuu and then Wakuu wa mikoa wa nchi hiyo

Chukulia mfano mdogo tu, Katika Kisiwa cha " Minazi, marashi na karufuu", kuna Waislamu asilimia 99, leo mfalme wa Kusadikika kaenda Kuteua Naibu Gavana, katafutwa kutoka ndani ya wale asilimia 1 mpaka kapatikana. Then kweli utawaambia wasadikika kuwa hapa ni by chance au kuna dhamira fulani?
 
Binafsi nilikua nampenda mh mafuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
nikuulize mtoa mada. watu wanafanya kazi kwa kufuata dini au taaluma zao walizosomea ?ulishawahi hata siku moja waziri au mkuu wa mkoa anafanya kazi kwa ku refer bible au Quran . embu tufafanulie una maana gani kwa tamko lako hili. vinginevyo na wewe utakuwa kati ya wale malofa na wapumbaf
 
Hivi jina linakufanya uwe mkristo au muislamu???

Unaweza ukaitwa Saidi na usifuate chochote kwenye mafundisho ya Uislam....

Unaweza ukaitwa Paulo na usijue Kanisa wala Biblia...

Tuacheni udini .... tufanye kazi...
 
BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA LA SERIKALI YA CCM LILILOUNDWA NA RAIS NYERERE MWAKA 1977.

1. Aboud Jumbe ......................(M.B.L.M-Zanzibar) makamu wa Rais
2. Edward M sokoine (monduli)...........waziri mkuu
3. Rashid M. kawawa(liwale)..............waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa
4. Alhaj Hasnu makame(aliteuliwa-zanzibar)........waziri wa nchi ofisi ya Rais ustawishajiwa makao makuu.
5. Amir H. jAMAl (morogoro).....................waziri wa mawasiliano na uchukuzi
6. Cleopa D Msuya(aliteuliwa)....................waziri wa viwanda.
7. John S. Malecela(dodoma vijijini)...........waziri wa kilimo
8. Alfed c. Tandau(MBINGA).....................Waziri asiye na wizara maalum
9. Hassan Nasoro Moyo( M.B.M-Zanzibar).. waziri wa mambo ya ndani ya nchi
10.Julie c manninga(aliteuliwa)..................waziri wa sheria
11.Alphonce Rulegura(sengerema)............waziri wa biashara
12.Nicholus kuhanga(mbunge wa taifa).....waziri wa elimu ya taifa
13.Dkt leader strling(mbunge wa taifa).....waziri wa afya
14.S.A.Ole saibul(arusha)................waziri wa maliasili na utalii
15.Tabitha siwale(aliteuliwa)..........waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo mijini
16.Crispin Tungaraza..................(mbunge wa taifa)waziri wa kazi na ustawi wa jamii
17.Anour kassum(aliteuliwa).........waziri wamaji, umeme na madini.
18.IsacK A. sepetu................(aliteuliwa) waziri wa habari na utangazaji
19.Edwin Mtei (aliteuliwa)............waziri wa fedha na mipango
20.Benjamin Mkapa(aliteuliwa)......waziri wa mambo ya nchi za nje.
21.Abel k. mwanga(msoma mjini).. waziri wa maendeleo ya watumishi
22.Abdalla s. natepe(M.B.M-zanzibar)waziri wa nchi ofisi ya Rais
23.Ali mzee Ali (M.B.M-Zanzibar)...waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais
24.Jacson makweta (njombe)........waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu.
25.Chediel y. mgonja(pare)......waziri wa utamaduni wa taifa navijana
26.Samwel J. Sitta(urambo).....waziri wa ujenzi.
27.Daniel M. machemba(mwanza) ..waziri asiye na wizara maalum

Source: Re: [wanabidii] BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA LA SERIKALI YA CCM MWAKA 1977
 
Back
Top Bottom