Sababu zinazotolewa za kuibakiza serikali ya Zanzibar hazina mashiko kabisa. Eti isije ikaonekana Tanganyika inaimeza Zanzibar kutokana na udogo wake. Hii ni sababu ya watu wasiokuwa na nia njema.Nadhani nina uhakika kuwa kuirudisha Tanganyika ni kuua muungano. Lengo liwe kuelekea serikali moja, na nchi moja kwa mtazamo wa ndani na nje.
Nchi moja itakuwa mwake Sana. Ila mzanzibari anawezaje kuwa mpaka Rais wakati mtu wa bara kule kwao hata kumiliki ardhi au makazi haruhusiwi sembuse kugombea ujumbe wa nyumba kumi? Full kudukuana.Nadhani nina uhakika kuwa kuirudisha Tanganyika ni kuua muungano. Lengo liwe kuelekea serikali moja, na nchi moja kwa mtazamo wa ndani na nje.
Nchi moja itakuwa mwake Sana. Ila mzanzibari anawezaje kuwa mpaka Rais wakati mtu wa bara kule kwao hata kumiliki ardhi au makazi haruhusiwi sembuse kugombea ujumbe wa nyumba kumi? Full kudukuana.
Baada ya Kushika Samia ndio mnaanza kulialila. Mataga mna matagizo gani.Muda wa kuwa na ama serikali moja au tatu ni sasa. Hizi siasa za kusema Zanzibar itamezwa ni za kijinga kabisa, sio za kiungwana na hazina uhalisia. Hakuna mtu anayeweza kumeza kisiwa kizima na bahari yake.
Siku ikitokea Tanganyika na Zanzibar zikigombana Mungu apishie mbali, Zanzibar itatushinda kirahisi sana.Nchi moja itakuwa mwake Sana. Ila mzanzibari anawezaje kuwa mpaka Rais wakati mtu wa bara kule kwao hata kumiliki ardhi au makazi haruhusiwi sembuse kugombea ujumbe wa nyumba kumi?. Full kudukuana.
Sio kwamba tunalialia, hii fact, siri na maadili ya Tanganyika yako wapi ndani ya muungano? Kama Zanzibar wanatunza utamaduni na mambo yao ndani ya Muungano Tanganyika inatunza nini? Tanganyika wanawaza upigaji tu hawajali nchi inakwenda wapi.Baada ya Kushika Samia ndio mnaanza kulialila. Mataga mna matagizo gani.
Naona kama watu wanashupaza shingo kwa vitu visivyohusiana kabisa.Zanzibar ni sehemu Tanzania. Wazanzibari pia hawaruhusiwi kuuza sukari bara
Hizo siri unazoongea ni siri zipi? Watu wako uchi? Au siri za waisojulikana?Sio kwamba tunalialia, hii fact, siri na maadili ya Tanganyika yako wapi ndani ya muungano? Kama Zanzibar wanatunza utamaduni na mambo yao ndani ya muungano Tanganyika inatunza nini? Tanganyika wanawaza upigaji tu hawajali nchi inakwenda wapi.
Hiyo ni sababu ya kijinga kabisa, mbona kuna jamii (makabila) madogo sana yenye watu wachache ambao hawafiki hata 100,000 hayajafutika mpaka hivi leo.Sababu zinazotolewa za kuibakiza serikali ya Zanzibar hazina mashiko kabisa. Eti isije ikaonekana Tanganyika inaimeza Zanzibar kutokana na udogo wake. Hii ni sababu ya watu wasiokuwa na nia njema. Ni nani atakaeona Zanzibar inamezwa? Inamezwaje wakati mipaka yake inafahamika? Ikimezwa kunatokea nini? Mbona Tanganyika sasa hivi imemezwa na Zanzibar mbona maisha yanakwenda? Si unajua Rais ana nguvu nyingi kwa mujibu wa katiba yetu, akipenda anaweza kuuhamisha mlima kilimanjaro kwenda anakotaka yeye?
Wazanzibar Mungu awajalie sana, wanajitambua, wana hofu ya Mungu, wanalijali taifa lao na Mungu anawasikiliza na kujibu maombi yao. Wazanzibar wako kwenye bunge la Tanganyika na watanganyika hawako bunge la Zanzibar.WaTanganyika wamekuwa wakimuomba Mungu juu ya Taifa lao La TANGANYIKA pasipo kuitaja TANGANYIKA na badala yake kutaja Tanzania.Mungu haijui hiyo nchi inayoitwa Tanzania katika uso wa Dunia.Imekuwa majibu ya maombi hayaletwi sababu hakuna nchi inayoitwa Tanzania,bali kuna nchi inayoitwa TANGANYIKA.Kwa hiyo maombi yote juu ya Tanzania yamekuwa''NULL AND VOID''.Mpaka tutakapo taja jina TANGANYIKA katika maombi yetu,ndipo majibu ya maombi yatakapokuja!!!!
Jafo yupo tu anaruka ruka badala ya kuitetea Tanganyika.Mtoa mada nimekupata vema. Hii iwe kero mojawapo ya muungano. Jafo aione mezani kwake