mawazo ya chini+passo mtumba imetoka wapi tena kwenye mada,hujajibu swali langu la mwanzo badoUna mawazo ya chini kabisa, ukiona kigari cha passo cha mtumba unaona kazi umemaliza.
Safi sana!Aitetee halafu baada ya hapo utampa kibarua wewe?
Lilikuwa lengo la awali kabisa kabla Karume hajaweka vikwazo! Ila nia ya awali kabisa ilikuwa hiyo ndiyo maana akaua Tanganyika akijua Zanzibar nao watauua uzanzibari lakini haikuwa hivyo kwa hiyo ikabidi akubaliane tu na hali kuhakikisha muungano unakuwepo.Nani alikuambia hilo lilikuwa lengo la Nyerere? Kama lilikuwa lengo lake kipi kilimzuia kutekeleza akiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano kwa miaka 20?
Kuna kila dalili kuwa Nyerere alitaka serikali moja na Karume hakupenda muungano.Lilikuwa lengo la awali kabisa kabla Karume hajaweka vikwazo! Ila nia ya awali kabisa ilikuwa hiyo ndiyo maana akaua Tanganyika akijua Zanzibar nao watauua uzanzibari lakini haikuwa hivyo kwa hiyo ikabidi akubaliane tu na hali kuhakikisha muungano unakuwepo.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
YaaniKuna kila dalili kuwa Nyerere alitaka serikali moja na Karume hakupenda muungano.
Baada ya nyerere kushindwa njia za moja kwa moja na wazi za muungano akaanza njia mbadala mbalimbali za kufikia leongo la serikali moja ambazo nazo pia zimegonga mwamba hadi leo. Sasa matokeo ya serikali mbili na kukosekana kwa serikali ya Tanganyika ndiyo tunaanza kuyashitukia sasa. Na bado mengi yatatokea ya kuikera Tanganyika huko tuendako kama serikali 2 zitabaki kama zilivyo.
Tanzania ina options tatu tu za muungano wetu:
1. Serikali moja (best)
2. Serikali tatu
3. Serikali za majimbo ili Zanzibar ibaki kama nchi/jimbo sawa na majimbo mengine.
Kuna kila dalili kuwa Nyerere alitaka serikali moja na Karume hakupenda muungano.
Baada ya nyerere kushindwa njia za moja kwa moja na wazi za muungano akaanza njia mbadala mbalimbali za kufikia leongo la serikali moja ambazo nazo pia zimegonga mwamba hadi leo. Sasa matokeo ya serikali mbili na kukosekana kwa serikali ya Tanganyika ndiyo tunaanza kuyashitukia sasa. Na bado mengi yatatokea ya kuikera Tanganyika huko tuendako kama serikali 2 zitabaki kama zilivyo.
Tanzania ina options tatu tu za muungano wetu:
1. Serikali moja (best)
2. Serikali tatu
3. Serikali za majimbo ili Zanzibar ibaki kama nchi/jimbo sawa na majimbo mengine
Yaani hapo ndipo penye ukakasi.Maana inavyoonekana wazanzibar hawataki kabisa Kuiua nchi yao ambayo wanadai wamepigania kwa mapinduzi na mpaka wakawa na baraza Lao la mapinduzi pamoja mwenyekiti (Rais) ambayo kwao ni historia ya heshima Leo hii uwaondolee hadhi ya nchi na uifute historia yao kama nchi ni mtihani mzito ambao hata mwalimu Nyerere ulimshinda.Lakini kumbuka hapo hapo Tanganyika tulikubali kuua Jina letu pia tukakubaliana tuwe kitu kimoja ila wenzetu bado wana uzanzibari.Wakati mwingine naona bora mwalimu Nyerere angetumia nguvu tu kuiondosha serikali ya zanzibar ili ibaki kuwa kama sehemu zingine za Tanzania.Hilo la serikali tatu nalo ni mtihani maana utakuwa unairudisha Tanganyika ambayo italeta mgawanyiko na huenda ikarudisha zile imani za tawala za kikabila tena.Option ya tatu inabidi ujiulize kwamba zanzibar watakubaliana nayo? Kwamba pasiwe na rais tena na pawe na mkuu wa jimbo/mkoa kama ilivyo kwa mikoa mingine ya bara.Kwamba mapinduzi yao na waasisi wake si kitu! Na hayakuwa na tija!Kuna kila dalili kuwa Nyerere alitaka serikali moja na Karume hakupenda muungano.
Baada ya nyerere kushindwa njia za moja kwa moja na wazi za muungano akaanza njia mbadala mbalimbali za kufikia leongo la serikali moja ambazo nazo pia zimegonga mwamba hadi leo. Sasa matokeo ya serikali mbili na kukosekana kwa serikali ya Tanganyika ndiyo tunaanza kuyashitukia sasa. Na bado mengi yatatokea ya kuikera Tanganyika huko tuendako kama serikali 2 zitabaki kama zilivyo.
Tanzania ina options tatu tu za muungano wetu:
1. Serikali moja (best)
2. Serikali tatu
3. Serikali za majimbo ili Zanzibar ibaki kama nchi/jimbo sawa na majimbo mengine.
Ni juu yao mkuu wa jimbo wamuite nani maadam kila jimbo litamchagua mkuu wa jimbo lao. Unaweza kuita Gavana, Rais, Mkuu wa mkoa, etc, ilimradi kila jimbo litakuwa na serikali yake na sheria zake ndogondogo za jimbo kama wanavyofanya marekani, ujerumani, nigeria, nkYaani
Yaani hapo ndipo penye ukakasi.Maana inavyoonekana wazanzibar hawataki kabisa Kuiua nchi yao ambayo wanadai wamepigania kwa mapinduzi na mpaka wakawa na baraza Lao la mapinduzi pamoja mwenyekiti (Rais) ambayo kwao ni historia ya heshima Leo hii uwaondolee hadhi ya nchi na uifute historia yao kama nchi ni mtihani mzito ambao hata mwalimu Nyerere ulimshinda.Lakini kumbuka hapo hapo Tanganyika tulikubali kuua Jina letu pia tukakubaliana tuwe kitu kimoja ila wenzetu bado wana uzanzibari.Wakati mwingine naona bora mwalimu Nyerere angetumia nguvu tu kuiondosha serikali ya zanzibar ili ibaki kuwa kama sehemu zingine za Tanzania.Hilo la serikali tatu nalo ni mtihani maana utakuwa unairudisha Tanganyika ambayo italeta mgawanyiko na huenda ikarudisha zile imani za tawala za kikabila tena.Option ya tatu inabidi ujiulize kwamba zanzibar watakubaliana nayo? Kwamba pasiwe na rais tena na pawe na mkuu wa jimbo/mkoa kama ilivyo kwa mikoa mingine ya bara.Kwamba mapinduzi yao na waasisi wake si kitu! Na hayakuwa na tija!
Ukweli Jumbe alikuwa anafahamu kile hasa Nyerere na Mzee Karume walichokubaliana kuhusu Muungano, Mzee Jumbe pia alikuwa anakifahamu vilivyo kile hasa Mzee Karume alichomaanisha kuhusu muungano.Fikra za akina jumbe zinatafuna watu
Ukweli Jumbe alikuwa anafahamu kile hasa Nyerere na Mzee Karume walichokubaliana kuhusu Muungano, Mzee Jumbe pia alikuwa anakifahamu vilivyo kile hasa Mzee Karume alichomaanisha kuhusu muungano.
Inasemekana muungano wa majaribio ulikuwa ni miaka 10 tu yaani 1964 - 1974 kabla ya kurudi mezani tena kuona uweje uendelee au ufe.
Wazanzibar hawaamini kabisa watu was bara haijulikani in kwanini labda kwasababu ya dini. Zanzibar iko tayari kuungana na Oman au Dubai na ikiwezekana kuunda serikali moja kuliko Tanganyika.
Great Britain ni muunganiko wa nchi nne, England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Wales wana Bunge lao na Kiongozi wao. Scotland wana Bunge lao na Kiongozi wao na Northern Ireland hivyo hivyo. Swali kwako; uliishawahi kusikia Bunge la England au Kiongozi wa England. Kama hilo halikushangazi kwanini ushangae la Tanganyika?Hii ni Jamuhuri ya muungano ya Tanzania.
Imepatikana kwa kuunganisha Zanbar na Tanganyika.
Zanzibar ina rais wake....
Tanzania ina rais wake .......
Tanganyika hatuna rais kwanini?
Au Tanganyika ilibadilika jina nakuitwa Tanzania?
Well asked.Great Britain ni muunganiko wa nchi nne, England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Wales wana binge lao na Kiongozi wao. Scotland wana bunge lao na Kiongozi wao na Northern Ireland hivyo hivyo. Swami kwako; uliishawahi kusikia Bunge la England au Kiongozi wa England. Kama hilo halikushangazi kwanini ushangae la Tanganyika?