naona mmepewa kibarua kigumu hiki; kutaka kuwauzia waTanzania mbuzi ndani ya gunia, huku wakisha gundua kwamba ni zigo la karatasi taka. Hii kazi hamuiwezi, kati yako Mzee Nyerere (pole sana kwa jina hilo); Lucas Mshamba na TlaaaTilaala na wengineo.Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Hizi takataka zenu mnazojaza humu hazina nguvu za ushawishi