Pre GE2025 Kama si itifaki ya Dunia Tanzania 2025 hapakuwa na haja ya Uchaguzi wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbali na kubadilisha safu za uongozi, uchaguzi mkuu pia ni fursa ya kiongozi kujipima kukubalika kwake kwa wananchi.
 
Huyu alieandk msomi wa zaid ya form six
Cc wa class 7c cjui itakuwaje
 
View attachment 3029438

Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.

Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS 700BL, Pesa hii ingesaidia zaidi kutuletea Maji safi na Salama pamoja na kukamilisha reli yetu ya SGR hasa kwa Vipande Vya Tabora Kigoma na Tabora Mpanda ambavyo havijaanza kabisa.

Kwa Mambo aliyoyafanya na anayoyafanya Rais Samia kwa miaka hii mitatu kugombea nae kama mpinzani ni kutaka kujifedhehesha tu mbele ya Watanzania kwa kupata vikura kiduchu sana.

Najua Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa lakini unachaguliwaje mbele ya Rais Samia? hata kama wafuasi wako wanakudanganya utashinda lakini nafsi yako itendee haki pia.

CHADEMA jiimarisheni kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani, hii ya Urais mtajidhalilisha na huenda mkapoteza kabisa mvuto wenu kidogo mliosalia nao kwa sasa huku mitaani.​
 
Attachments

  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    21.5 KB · Views: 1

Mkuu wote tunampenda Mama Samia.
Lakini ujue nchi haiendeshwi kwa mapenzi kwa mtu, KATIBA mkuu, KATIBA.
 
View attachment 3029438

Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.

Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS 700BL, Pesa hii ingesaidia zaidi kutuletea Maji safi na Salama pamoja na kukamilisha reli yetu ya SGR hasa kwa Vipande Vya Tabora Kigoma na Tabora Mpanda ambavyo havijaanza kabisa.

Kwa Mambo aliyoyafanya na anayoyafanya Rais Samia kwa miaka hii mitatu kugombea nae kama mpinzani ni kutaka kujifedhehesha tu mbele ya Watanzania kwa kupata vikura kiduchu sana.

Najua Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa lakini unachaguliwaje mbele ya Rais Samia? hata kama wafuasi wako wanakudanganya utashinda lakini nafsi yako itendee haki pia.

CHADEMA jiimarisheni kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani, hii ya Urais mtajidhalilisha na huenda mkapoteza kabisa mvuto wenu kidogo mliosalia nao kwa sasa huku mitaani.​
Múngu mbariki Rais wetu.
We love her kwa hakika
 
Naunga mkono hoja hii
 
Kama si itifaki ya dunia Tanzania kama nchi haikutakiwa kuwapo.
 
Back
Top Bottom