naona mmepewa kibarua kigumu hiki; kutaka kuwauzia waTanzania mbuzi ndani ya gunia, huku wakisha gundua kwamba ni zigo la karatasi taka. Hii kazi hamuiwezi, kati yako Mzee Nyerere (pole sana kwa jina hilo); Lucas Mshamba na TlaaaTilaala na wengineo.Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Nakubaliana na wewe. Lakini hiyo siyo njia sahihi, kwani JF ni Jukwaa la kila apendae kutumia kwa uhuru wake.Ili kulinda heshima na hadhi ya Jf watu wenye hoja dhaifu namna hii wangekuwa wanapigwa ban tu
Umekwisha eleza huko juu, kwamba gharama za uchaguzi ni kubwa sana, na kwamba pesa hiyo ingefaa itumike kujenga miundo mbinu.CHADEMA jiimarisheni kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani,Hii ya Urais mtajidhalilisha na huenda mkapoteza kabisa mvuto wenu kidogo mliosalia nao kwa sasa huku mitaani.
Kweli kabisa mwamba!Hii JamiiForums ya sasa imekua JamiiForums ya machawa.
Inakera sana.
Sawa kabisa!Nakubaliana na wewe. Lakini hiyo siyo njia sahihi, kwani JF ni Jukwaa la kila apendae kutumia kwa uhuru wake.
Dawa ni moja tu, kutofungua na kusoma takataka hizo.
Kwa mfano, binafsi sina muda wa kufungua mada iliyowekwa na Lucas au TlaaTlaaa, na hivi karibuni hata 'Choice
Inakera sana kuanza siku mpya na hoja ya kipumbavu kama hii! Uchaguzi sio hisani Dogo!!View attachment 3029438
Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS 700BL, Pesa hii ingesaidia zaidi kutuletea Maji safi na Salama pamoja na kukamilisha reli yetu ya SGR hasa kwa Vipande Vya Tabora Kigoma na Tabora Mpanda ambavyo havijaanza kabisa.
Kwa Mambo aliyoyafanya na anayoyafanya Rais Samia kwa miaka hii mitatu kugombea nae kama mpinzani ni kutaka kujifedhehesha tu mbele ya Watanzania kwa kupata vikura kiduchu sana.
Najua Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa lakini unachaguliwaje mbele ya Rais Samia? hata kama wafuasi wako wanakudanganya utashinda lakini nafsi yako itendee haki pia
CHADEMA jiimarisheni kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani,Hii ya Urais mtajidhalilisha na huenda mkapoteza kabisa mvuto wenu kidogo mliosalia nao kwa sasa huku mitaani.
ImmediatelyIli kulinda heshima na hadhi ya Jf watu wenye hoja dhaifu namna hii wangekuwa wanapigwa ban tu
Kodi zipi zimefisadiwa au ndio maneno ya kwenye kahawa pale kwa Mzee Jongo?Kama mnajua kuwa hao walipa kodi ni masikini mbona kila siku mnafisadi pesa za kodi zao na kuzifanyia matumizi yasiyo na maana badala ya kushughulikia maendeleo yao?
Ni unafiki wa hali ya juu kusema kuwa walipa kodi ni maskini, na wakati huo huo unatetea wizi, ufisadi, ufujaji na matumizi ya ovyo ya pesa za hao walipa kodi.
Hii JamiiForums ya sasa imekua JamiiForums ya machawa.
Inakera sana.
Bajeti zote za miaka mitano ishindwe kuleta maendeleo halafu pesa ya kugharamia uchaguzi ndio iweze kuleta maendeleo?
Unapakatwa ww
Mbona pikipiki za CCM zinawauma sana CHADEMA kwani nyie mmezuiliwa?
Dah nimelia sana 😂wewe ni mzima au punguani?
Uchaguzi wa nini wakati Mshindi anajulikana?View attachment 3029438
Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS 700BL, Pesa hii ingesaidia zaidi kutuletea Maji safi na Salama pamoja na kukamilisha reli yetu ya SGR hasa kwa Vipande Vya Tabora Kigoma na Tabora Mpanda ambavyo havijaanza kabisa.
Kwa Mambo aliyoyafanya na anayoyafanya Rais Samia kwa miaka hii mitatu kugombea nae kama mpinzani ni kutaka kujifedhehesha tu mbele ya Watanzania kwa kupata vikura kiduchu sana.
Najua Kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa lakini unachaguliwaje mbele ya Rais Samia? hata kama wafuasi wako wanakudanganya utashinda lakini nafsi yako itendee haki pia
CHADEMA jiimarisheni kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani,Hii ya Urais mtajidhalilisha na huenda mkapoteza kabisa mvuto wenu kidogo mliosalia nao kwa sasa huku mitaani.
😂Bajeti zote za miaka mitano ishindwe kuleta maendeleo halafu pesa ya kugharamia uchaguzi ndio iweze kuleta maendeleo?
Unapakatwa ww
Isije ikawa na yenyewe imeshakabidhiwa fungu. Maana kilichobakia kwa sasa ndiyo hiki!Hii JamiiForums ya sasa imekua JamiiForums ya machawa.
Inakera sana.
Ukiona mtu anatembeza nyama mtaani kwa kipaza sauti wakati bucha zipo, hiyo nyama ina walakini.....kibudu hicho usinunue.View attachment 3029438