Pre GE2025 Kama si itifaki ya Dunia Tanzania 2025 hapakuwa na haja ya Uchaguzi wa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia tu
 
Nikweli kabisa
 
Kwa hiyo tuendelee na wabunge wote tulionao sasa hivi?
 
Unalivunjia heshima sana jina la Nyerere kwa huu utopolo wako.
 
Bajeti zote za miaka mitano ishindwe kuleta maendeleo halafu pesa ya kugharamia uchaguzi ndio iweze kuleta maendeleo?

Unapakatwa ww
Hizi ndiyo akili zilizochanyika na haja kubwa, mwenyewe anaona ametoa madini hapo.
 
Hii nchi Unaweza ukapata hasira had utukane mtu
 
Wee Nyerere feki Mshauri Chura kiziwi asigombee 2025 . Hatatoboa .
 
Mabeyo alikosea sana
 
Amekufanyia nini la maana...! Tozo Kila sehemu, madini yanaenda...! Ngoja nifunge domo langu ila wangeifanya tu iwe nchi ya kifalme kwa wanacho fanya ni sawa na uongozi wa kurithishana tu...!​
 
Ni kupoteza muda lakini ni vyema kushuhudia mama akivunja record ya ushindi wa asilimia 96
 
Naunga mkono hoja
 
Ivi yule Bibi aliyekuwa anasemaga kuwa Huko Shuleni mlienda kusomea Ujinga mbona siku hizi Hapiti kwenye hizi Thread atoe shule
 
Tz Rais akiwa dhaifu sana anatetewa kwa nguvu kubwa sana na kakikundi kadogo kanakotafuna keki ya Taifa!!.
 
Tafsiri ya urais uliyonayo wewe inatosha kabisa kutoa jibu kwamba, wewe ni mwehu wa lumumba

Kazi ya urais siyo kusafiri safiri nje ya nchi kisha urudi kukaa Ikulu!

Mnaomsifia kusema haina maana ya uchaguzi, asilimia kubwa yenu ni majambazi ya kodi zetu, bahati mbaya mama hachungulii kwenye kapu, akikopa anaweka kwenye kapu, nyinyi mnagawana kisha mnasema anatosha

Atoshe kwa lipi? Kuwafurahisheni nyinyi majizi?
 
Hivi hizi pombe mnakunywa za nini kama hamzimudu. Watu wale wale ndio walikuwa ooh JPM aongezewe, OOh JPM sijui nini. Kama wa nyuma wangesikiliza haya, hata kikwete aliambiwa hivyo, hawa wa sasa mnaowaita wazuri wangetoka wapi?
Kwani mmeongea na Mungu kwamba wazuri zaidi wamekwisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…