changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kumbu kumbu zangu zinasema kuwa hata simba walikuwa wamepewa penati na kadi nyekundu mechi nne mfululizo. Hasa hasa ikitokea hawajapata goli mpaka dakika ya 60Mimi nikaiona tu Imefika dakika ya kuanzia ya 75. na Yanga ama inaongozwa au ina suluhu na hizo timu nyingine ukiondoa Simba.
Huwa nasubiri tu Penati kupewa Yanga Muda wowote.
Kuanzia muda huo Marefa wanaanza kuwataftia Yanga Penati.
Timu ndogo lazima zitambue zikicheza na Yanga ukifika dakika ya 75 zichukue tahadhari kubwa eneo la Penati.