Kumbu kumbu zangu zinasema kuwa hata simba walikuwa wamepewa penati na kadi nyekundu mechi nne mfululizo. Hasa hasa ikitokea hawajapata goli mpaka dakika ya 60Mimi nikaiona tu Imefika dakika ya kuanzia ya 75. na Yanga ama inaongozwa au ina suluhu na hizo timu nyingine ukiondoa Simba.
Huwa nasubiri tu Penati kupewa Yanga Muda wowote.
Kuanzia muda huo Marefa wanaanza kuwataftia Yanga Penati.
Timu ndogo lazima zitambue zikicheza na Yanga ukifika dakika ya 75 zichukue tahadhari kubwa eneo la Penati.
Vipe viazi heshima yake Mkuu.Hivi utaahira mtaacha lini ninyi ng'ombe? Yanga kabebwa kwenye tukio gani Jana? Hivi lile goli la Makambo wangefunga mbumbumbu au Biashara likakataliwa si ungevaa boxer kichwani wewe taahira? Simba ina mashabiki viazi mbatata sana aisee
Simba imetoa suluhu n Coaster Union bila jaribio la Penati.Kumbu kumbu zangu zinasema kuwa hata simba walikuwa wamepewa penati na kadi nyekundu mechi nne mfululizo. Hasa hasa ikitokea hawajapata goli mpaka dakika ya 60
Simba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa.
Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa.
Ndo maana Simba ikaona ni upuuzi mdhamini wa ligi anashangilia timu.
Hongereni mwaka huu marefa lazima wawe matajiri.
Yanga mipass,tutamuita refa naye mipass na yule mtangazaji aliyekuwa ananunua pass kwa millioni naye piamasononeko SC [emoji16][emoji16][emoji16]
sasa zile pasi 500+ refa alipiga pasi ngapi?
Yule Lucy ni kichaa tu kama wewe ndo maana mnaelewana.Yule kocha Luc nae akashindilia zaidi " Mashabiki wa Yanga ni Manyani" Msukule ukamaliza ubishi kwa kusema "Usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK tu" Mliobaki hamnazo . Mnafanana na wafuga mbwa tu. Siyo maneno yangu , niya Luc na Manara.
Goli la Makambo aka Makambovich nalo vepee?Yule mwamuzi toka mpira unaanza alikuwa anawatafutia utopolo ushindi, mara faulu ila biashara wakichezewa wanapeta ni swala la muda mambo ya waamuzi kupigwa yatajirudia
Kumbe wakichukua tahadhari Yanga hapati penati? Kwa hiyo kumbe negligence na recklessness ndo zinawasababishia adhabu ya penati! Kosa ni la nani hapo?Mimi nikaiona tu Imefika dakika ya kuanzia ya 75. na Yanga ama inaongozwa au ina suluhu na hizo timu nyingine ukiondoa Simba.
Huwa nasubiri tu Penati kupewa Yanga Muda wowote.
Kuanzia muda huo Marefa wanaanza kuwataftia Yanga Penati.
Timu ndogo lazima zitambue zikicheza na Yanga ukifika dakika ya 75 zichukue tahadhari kubwa eneo la Penati.
Wakati mwingine kosa ni la waamuzi.Kumbe wakichukua tahadhari Yanga hapati penati? Kwa hiyo kumbe negligence na recklessness ndo zinawasababishia adhabu ya penati! Kosa ni la nani hapo?
Kama nyie siyo vichaa , mlimwajiri kichaa kwa misingi hipi? Mama j acha vituko basi.Yule Lucy ni kichaa tu kama wewe ndo maana mnaelewana.
Pale Dodoma makolo yalipewa penati yakapata points tatuSimba imetoa suluhu n Coaster Union bila jaribio la Penati.
Namungo imefungwa na Simba dakika za Nyongeza bila jaribio la kupewa penati.
Biashara Simba imepewa penati halari dakika za mwisho John Boko akakosa.
Yanga haijawahi kutoka suluhu msimu huu bila kupewa penati dakika za lala salama eg.mechi dhidi ya Namungo.
Marefa hawajisikii usalama msimu huu labda kama Yanga itafungwa au kutoka Sare.
Labda wanaogopa presha ya mashabiki.