Sare ya 1 kwa 1 kivipi? Kwahiyo Moloko ule mkono aliosukumwa sio faulo? Kama kusukumwa sio.faulo basi hata ya Geita wapewe goli lao kwenye mechi dhdi ya Simba. Mbona goli la makambo unalitoa wakati kwenye marudio inaonesha kabisa hakuna mgusano wowote kati ya makambo na kipa. Na pia kipa hakuukamata mpira. Acheni ushabiki na chuki za kitimu.