Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

Mada yako inasema.

"Kama sijawahi kukuomba pesa yako usiniombe utamu wangu mwaka 2025,"

Kutokana na wazo lako unatuambia tununue na kuuza mapenzi.
Hapo unataka kuwaambia watu kuwa hakuna kupendana kati ya Me na Ke.
Ila ni kufanya biashara tu.

Je unaliona wazo lako ni sahihi?
Je unakifundisha nini kizazi cha sasa ?
Kuwa usiye mwomba pesa usimpende ?

Vipi kuhusu wanawake wenye pesa, wasiwe na mpenzi kwakuwa hawaombi pesa?

Au tuseme hilo ni wazo lako wewe kama wewe tu.

Kwakuwa umekosa uwezo wa kutafuta pesa zako binafsi hivyo kuwafanya wanaume kama njia pekee ya kupata pesa ?
 
Ndomna ndoa zikasisitizwa, kwenye ndoa mume utatoa huduma kwakua ni wajibu wako na mke utatoa mambo kwakua ni wajibu wako.

Sasa hizi girlfriend na boyfriend hizii ndo zimeleta vizaa Zaa, wengine wanataka I love you uwe maji mara Moja akuchakaze akuteme ,, wengine nao bila Hela huna utachopata ilimradi vurugu telee pande zote.
 
Mmmhh!! Kuwa na huruma we mdada huo ni ubinafsi.

Sasa wewe kama huna upwiru na mwenzio anao atahudumiwa na nani?

Vipi wewe ukiwa nao na mwenzio hana nawe utanunua huduma?

Kama humpendi ni heri kuambizana ukweli kuliko kunyimana hivi vitu unajua mtu anavurugika Sana .
 

Kwani wanaume mnakosaga upwiru
 
Mkuu nitoe na ten hapo.
 
Tusinyimane
 
Siuzi wala sinunuliwi nikiwa na upwiru natoa kwa Ridhaa yangu…

Kuniomba utamu na sijakuomba pesa yako ni kunikosea heshima tulia nikipata hamu nitakuambia mimi
Basi mm leo tarehe 01/01/2025 nakuomba utamu wako tuenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…