Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Mada yako inasema.Toka kwa Mhenga.
Mwanamke anapenda kweli na anataka apendwe ki romantiki.
Ni vizuri kuelezana kama hili penzi ni la romance au lenye malengo
Unamwahidi mwanamke mapenzi ya dhati naye anakupa sex unayotaka .
Mnafika kitandani wewe unawaza kumchezea na kumuacha tu
Hakuna romance hakuna hisia za kweli .
Na unafanya penzi ili kumkomoa na kumwagia shahawa zako humo ili uondoke.
Ukikojoa wewe unamwuliza "umekojoa na unajua hajakojoa "?
Wanawake hawataki hilo swali,umepewa uchi tulia hadi amalize na yeye
Si umesema unampenda ?
Haraka ya nini ?
Huu ni wizi wa kuaminiwa.
Ifikie mahali mjulishe huyo mwanamke kuwa tufanye mapenzi kujifurahisha na huna nia nae
Ili ajue namna ya kuitumia uchi wake kwako.
"Kama sijawahi kukuomba pesa yako usiniombe utamu wangu mwaka 2025,"
Kutokana na wazo lako unatuambia tununue na kuuza mapenzi.
Hapo unataka kuwaambia watu kuwa hakuna kupendana kati ya Me na Ke.
Ila ni kufanya biashara tu.
Je unaliona wazo lako ni sahihi?
Je unakifundisha nini kizazi cha sasa ?
Kuwa usiye mwomba pesa usimpende ?
Vipi kuhusu wanawake wenye pesa, wasiwe na mpenzi kwakuwa hawaombi pesa?
Au tuseme hilo ni wazo lako wewe kama wewe tu.
Kwakuwa umekosa uwezo wa kutafuta pesa zako binafsi hivyo kuwafanya wanaume kama njia pekee ya kupata pesa ?