Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

ila ukisema mpaka upewe hela ndio umpe utamu means hapo hakuna anayempenda mwenzie mmekutana tu kila mtu na tamaa zake anataka amalize shida zake..

Mapenzi ni hisia, ukipenda mtu huwezi kuwaza yote hayo

Yaani mwanaume unakutana nae wiki tu hata bado hujampenda anaanza mambo ya ngono

Ila wao wakiombwa hela ndani ya wiki wanalalamika sie ombaomba


2025 wanaume wapenda ngono watateseka sana huu ni utabiri
 
Mkuu kwani mapenzi ni biashara?
Mnapokoseaga ni kule kutongozana kunafanywa kuwa ni issue ya jinai!

Tangia mtu kukutongoza hadi kufikia kufanya naye mapenzi, inatakiwa upite muda gani?

Wenye akili kama zako wapo wengi, ukimtongoza anakununiiiiiah!

Na ridhaa ya mtu kukulala inatakiwa atoe sh. ngapi?
 
Unatongozwa kwa sababu mtu anakuwa na nyege anataka amalizie kwako, ukiona vipi usimpe namba au mkatalie tu moja kwa moja si mpaka uje hapa kubwabwaja. Msipotongozwa mnakwenda kwa masheikh kufunguliwa nyota na kuroga. Mbona wanawake hamueleweki jamani, unataka kutuambia wewe hupendi kutombwa?
 
Siuzi wala sinunuliwi nikiwa na upwiru natoa kwa Ridhaa yanguโ€ฆ

Kuniomba utamu na sijakuomba pesa yako ni kunikosea heshima tulia nikipata hamu nitakuambia mimi
Lakiniumesema mwenyewe mtu akikuomba na wewe unamuomba hela.
Au uko katika mahusiano yenye changamoto za kifedha? Hili lipo kwa wengi tu.
Nadhani unge appreciate tu mtu akikutongoza ni dalili ya kukukubali ulivyo rgardless kama ana mipango ya kudumu.
Unamkataa tu kistaarabu, bila hata kuongea mambo ya hela, kama anajielwa nae wala hakusumbui boss.
 
Yani kwa kifupi your pussy is not for free.
Sasa mambo yasiwe mengi, huwa unaomba kiasi gani, kwa mtu asietaka mahusiano ya kudumu. Yani awe kila akikucheki mna exchange, anatoa upwiru na wewe unapata hela uliyoomba

Baki na pesa zako na upwiru wako na mimi nabaki na uchi wangu.. huwezi kuniomba uchi wangu ndani ya wiki moja halafu mimi nikiomba hela ndani ya hiyo wiki unione mimi ombaomba


Hata nyie ombaomba wa uchi na mtakufa na ukame mwaka 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ