Kama sijawahi kukuomba hela yako na wewe usiniombe utamu wangu 2025

[emoji1787][emoji1787] wanaume wa humu wananishambulia mno ila wao wakiombwa hela siku hiyohiyo wanafungua uzi kutunanga

Sasa 2025 hatuna nyege hatuna njaa na uchi hatuwapi
Wewe binti umenishinda tabia😂🙌🙌,
Ngoja kwanza tuisubiri 2025 yenyewe tuone inatupelekaje
 
Nyie wanawake wengi wenu mna wazimu kichwani mwenu, muda wote mnawaza pesa pesa pesa

Umetongozwa na mkaka hata hamjamaliza week ushaanza kuomba hela.. halafu sisi tukiwaomba mechi mnasema sie ni malaya

Kama mwanaume hajawai kukuomba mechi, hajawai kukwambia yeye ni ATM anataka uipukutishe, basi mfunge hizo njaa zenu

Sina njaa na mzigo wako na wewe jitulize na tamaa zako

NIKISIKIA KUKUPA HELA NITAKUPA MWENYEWE USINIOMBE PESA ZANGU

Ukianza kuniomba hela ujue na mimi nitakuomba mechi.. maana wewe ndio mwenye umasikini

2025 kila mtu abaki na chake hatuwaombi mechi na nyie msituombe hela

HOW DOES IT SOUND... FAIR HUH?
 
Mm ckutongozi nauliza hii bidhaa uliyobeba Kwa soko la muda huu n bei ganii,,tukifikiana bei unanipa huduma nakupa pesaa Yako Kila mtu anapita hv ,km nimeridhika na huduma wkt mwingine ntakuchek ,km huduma mbovu bac namba na delete🤪🤪

Tupe bei ya huduma madam tutapambae na chaki....
 
Ubaya ubwela sio?
 
Havina muongozo mkuu, kama wewe unatongozwa leo na kesho simu imepasuka kioo, gesi imeisha, mama anaumwa...na mimi naweza kukutongoza na kutaka kipapa right away.

Aisee mnadharau sana nyie yaani siku hiyohiyo na yeye akikuomba hela siku hiyohiyo unakuja kumfungulia uzi humu
 
Nimepita uzi wa wkubwa sijuiiii

Nimeambulia neno
" Kila mtu abaki na chake"

2025 watu wanaingia na hasira sana.
 

Subiri nishikwe upwiru nitakuambia bei
 
Kwani nilikwambia nina nyege?? Nilikuambia nataka unikule

Sitaki pesa yako na mimi utamu wangu hupati

Nikisikia nyege nitakupa mwenyewe na sio kuniomba
Ucku mmoja bei gan madam ,acha na hawa wanaume wenzangu inaonekana Leo hawako serious kdg😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…