Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Ila jamani mitandao ya kijamii ina balaa.
Ukute hapa nilipo kwenye post hii hii ya mistari, baba yangu mdogo au mjomba au shangazi au bamkubwa nae pia yupo anachora hii mistari huko kwake.
We mtoa mada ndio nini watu wazima sisi kutukalisha chini kuchora mistari na baba yangu mkubwa?
Hahahhahahh
Haha chora tu upo pekeako