Kama sio handsome, huna kipaji na huna hela ila una cheat, ungekua navyo ungekuaje ?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi.

Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana anajua wadada wananitaka sana lakini sifanyi hivyo mana namheshimu, ila wewe na sura yako personal unaenuka jasho unajitia kidume. Ni aibu sana. Huo ni uchokoraa sio uanaume.

Mungu fundi
 
Mkeo anajua kama we ni bingwa wa kuchamba?
mangekimambi80-20250613-0001.jpg
 
Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi.

Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana anajua wadada wananitaka sana lakini sifanyi hivyo mana namheshimu, ila wewe na sura yako personal unaenuka jasho unajitia kidume. Ni aibu sana. Huo ni uchokoraa sio uanaume.

Mungu fundi
Vijana kama wewe mna mchango mdogo sana hapa nchini
 
Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi.

Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana anajua wadada wananitaka sana lakini sifanyi hivyo mana namheshimu, ila wewe na sura yako personal unaenuka jasho unajitia kidume. Ni aibu sana. Huo ni uchokoraa sio uanaume.

Mungu fundi
Kuna mahala hakupo sawa , jitathmin sana,
 
Back
Top Bottom