Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Uone aibu, mtu humjui mtandaoni unaandika uninga kujifanya we ni expert wa jinsia kisa unaishi sijui wapi. Usiwe biased, we unafata mkumbo huna expertise yoyote, period.Wewe ni shoga na kila mtu anasema hivyo humu , nakuonyesha naishi wapi ili ujue kabisa huu uharo unaondika humu ni wakishoga kabisa na utawadanganya wa huko kidimbwi kwenu kuwa wewe ni wanaume kamili
Bwabwa hilo, linataka mkuyengeHuyu jamaa anatutangazia biashara kimkakati sana🤔
Acha ubwabwa bwashee hakuna wanaume anajisifia ujinga kama wakoUone aibu, mtu humjui mtandaoni unaandika uninga kujifanya we ni expert wa jinsia kisa unaishi sijui wapi. Usiwe biased, we unafata mkumbo huna expertise yoyote, period.
Em mchukue mtu wako na umtulize, tumechoka na kero zake, woiiiiih
Nimpeleke wapi mm mwanaume kujisifia mzurii, 😂Em mchukue mtu wako na umtulize, tumechoka na kero zake, woiiiiih
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Nimpeleke wapi mm mwanaume kujisifia mzurii, 😂
Acha wanawake wakusifie Ila mwenyewe daah
Athubutu akafie mbele, 😂😂😂😂😂
Tatizo mnajifanya hamjui anachotaka, em mtulizeni mtu wenu, japo mara 1 aridhike. Lol
Jamaa ni jinga Sana"Pamoja na uhendisamu wangu"
Nimeishia hapo, uzi umekaa kimkakati sana, unawaambia wanaume kuwa wewe ni mzuri ili iweje ? Wakuoe ama !!!! Dah
😂😂😂😂😂Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi.
Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana anajua wadada wananitaka sana lakini sifanyi hivyo mana namheshimu, ila wewe na sura yako personal unaenuka jasho unajitia kidume. Ni aibu sana. Huo ni uchokoraa sio uanaume.
Mungu fundi
Kheri ya mwaka mpya mkuu😂😂😂😂😂
Chino hajamboHeri kwako pia
Wanaman chino.
Hujambo?