Kama sio hujuma za kina Gamondi, Yanga ingekuwa top two kwenye kundi lake

Kama sio hujuma za kina Gamondi, Yanga ingekuwa top two kwenye kundi lake

Yanga ilipoteza fitness, ata hivyo Bado Kuna kazi kubwa inahitajika.
Level ya fitness kwa baadhi ya wachezaji haiko vizuri.
Mzize fitness imeimarika na akiongeza juhudi atakua namna 9 wa Taaifa wa kutegemewa.
 
Hata kama ndio ushabiki maandazi

Ila sio kama hivi, muwe na shukrani hata kidogo, haiwapunguzii chochote

Mambo ya kusema hujuma ilhali watu wamemwaga jashi na damu kuifanya timu ifike ilipofika sio jambo la kitoto

Heshimuni taaluma za watu; kushindwana kupo na mbinu kuna muda hukwama

Ila isiwe kisingizio cha hujuma

Gamondi alifanya yake kwa wakati wake; masuala ya hujuma yanatoka wapi??

Au ndio shukrani ya Punda??
 
Kuna mambo bado timu haijakaa sawa, timu ikikaa sawa itakuwa na dozi za tano tano.
 
Yanga iliyumba kwa hujuma tu.

Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi.

Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
Uko sahii,binafsi nimesha waambia wengi sana kuwa yanga alistahili kyongoza ila viongozi walijisahau ndiyo maana tulivulunda ila waendelee kuwa wamoja tutafika mbali.
 
Kwa mujibu wa msukuma akihojiwa na Adela Tillya Siku moja kabla ya mechi na Tabora United aliwapa wachezaji wa yanga pombe za laki 8 na kesho yake wakacheza na Tabora . Kufungwa 3 ni kwa vile yanga ina wachezaji wakubwa ilikuwa iwe 6.

Gamondi ni kocha mzuri, angekuwa anafuatilia nidhamu hakuna timu ingeifunga yanga ndani na nje ya Tanzania .
 
Back
Top Bottom