SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hizi akili za nyuma mwiko hovyo sana sasa Gamondi ataihujumu vipi timu anayofundisha? Mnaacha kumsema Haji anayewakuwadia vicheche wachezaji wenu na kuwafundisha kuvuta bangi na shisha leo alaumiwe Gamondi? Mpaka mtapojua damage aliyofanya Albino itakwa too late.