carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Endeleeni kupiga nyeto.Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika
mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hayo wakati wakisubiria uzinduzi wa mji huo ambao mgeni rasmii wa tukio hilo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu
Bashungwa amesema rais Samia amesimamia kauli yake kwa vitendo kwa kuhakikisha ujenzi wa mji wa serikali unakamilika, licha ya kuwa mradi huo ulipendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa hayati john Pombe Magufuli.
Kando na hilo ameongeza kuwa mafanikio ya kukamilika kwa mradi huo yametokana na usimamizi na dhamira ya rais samia ya kuhakikisha mipango ya serikali inatekelezwa.
Chanzo : Chief Odemba
R.I.P JPMMbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika
mbunge huyo ameyasema hayo wakati wa hayo wakati wakisubiria uzinduzi wa mji huo ambao mgeni rasmii wa tukio hilo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu
Bashungwa amesema rais Samia amesimamia kauli yake kwa vitendo kwa kuhakikisha ujenzi wa mji wa serikali unakamilika, licha ya kuwa mradi huo ulipendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa hayati john Pombe Magufuli.
Kando na hilo ameongeza kuwa mafanikio ya kukamilika kwa mradi huo yametokana na usimamizi na dhamira ya rais samia ya kuhakikisha mipango ya serikali inatekelezwa.
Chanzo : Chief Odemba
Inasikitisha sana...nilikua najiuliza huo uzinduzi una ulazima gani kwa sasa wakati wizara zilishaanza kufanya kazi zaidi ya miaka mitano sasa....yani gharama zote walizolipa wasanii na influencers zina umuhimu gani........hii nchi inaongozwa na mazero brainer aiseeBASHUNGWA amekua nje ya uwaziri amekua mjinga kuliko kawaida,
Yaani huu uzinduzi wa mji wa mtumba wanaudhuria
Mawaziri na manaibu waziri
Makatibu wakuu
Manaibu makatibu wakuu
RC Wote Tz
RAS Wote Tz
DC wote Tz
DAS Wote Tz
DED Wote Tz
WENYEKITI WA HALMSHAURI WOTE TZ
MAKAMU WAKE WOTE TZ
MADIWANI 6 HADI 7 KILA HALMASHAURI WOTE TZ
MA RPC WOTE TZ
MA OCD WOTE TZ
Hapo bado maccm yaani wenyeviti ngaz za mikoa na wilaya na bado fedha zimehitajika kutoka halmashauri, Mashirika, taasis kukagharamia shughuli hii tu
TAIFA HILI KUPIGA HATUA ITACHUKUA MIAKA 10,000,000.
BASHUNGWA amekua nje ya uwaziri amekua mjinga kuliko kawaida,
Yaani huu uzinduzi wa mji wa mtumba wanaudhuria
Mawaziri na manaibu waziri
Makatibu wakuu
Manaibu makatibu wakuu
RC Wote Tz
RAS Wote Tz
DC wote Tz
DAS Wote Tz
DED Wote Tz
WENYEKITI WA HALMSHAURI WOTE TZ
MAKAMU WAKE WOTE TZ
MADIWANI 6 HADI 7 KILA HALMASHAURI WOTE TZ
MA RPC WOTE TZ
MA OCD WOTE TZ
Hapo bado maccm yaani wenyeviti ngaz za mikoa na wilaya na bado fedha zimehitajika kutoka halmashauri, Mashirika, taasis kukagharamia shughuli hii tu
TAIFA HILI KUPIGA HATUA ITACHUKUA MIAKA 10,000,000.
Hizo posho zake hapo jumlisha na vurugu nyingine usiombeBASHUNGWA amekua nje ya uwaziri amekua mjinga kuliko kawaida,
Yaani huu uzinduzi wa mji wa mtumba wanaudhuria
Mawaziri na manaibu waziri
Makatibu wakuu
Manaibu makatibu wakuu
RC Wote Tz
RAS Wote Tz
DC wote Tz
DAS Wote Tz
DED Wote Tz
WENYEKITI WA HALMSHAURI WOTE TZ
MAKAMU WAKE WOTE TZ
MADIWANI 6 HADI 7 KILA HALMASHAURI WOTE TZ
MA RPC WOTE TZ
MA OCD WOTE TZ
Hapo bado maccm yaani wenyeviti ngaz za mikoa na wilaya na bado fedha zimehitajika kutoka halmashauri, Mashirika, taasis kukagharamia shughuli hii tu
TAIFA HILI KUPIGA HATUA ITACHUKUA MIAKA 10,000,000.
Sas mtu kama Bashungwa nani atampa ajira kwenye sekta binafsi.Bashungwa badala achangamke na sector binafsi analeta uchawa apate teuzi tena, aibu sana
Hapana mkuu..Samia amepandisha watumishi madaraja kuliko mtangulizi wake,ameajiri maelfu ya vijana kuliko mtangulizi wake,amejenga shule za kisasa za 600m karibu Kila kata,sgr,madaraja nk..nani kama mama!!?Mbumbumbu Samia hawezi kuwa jemedari.
Kuongea tu hawezi sembuse awe jemedari?
Wahuni wanamtumia bibi haramu kujinufaisha.
Kutafta cheo uroho wa madaraka MNYARWANDA HUYU Anapenda sana media na kujiona kuwa wa thamaniMbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa, amesema kuwa bila uongozi wa rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa mji wa serikali jijini dodoma usingekamilika