Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Hali inatishaAisee
Tupe ukijuacho
Umejichanganya katika maelezo! Hatusupport mambo hayo pia! Tunaongelea hali halisi ya familia zetu! Kuvunja na kuachana na hayo maagano kunawezekana ila uwe umejipanga na silaha nzito kuliko adui!Utakuwa umetumwa na Lusufer wewe.
Watu tulisha ondokana nayo na kuwa huru wewe unatusihi turudi utumwani,ni Nani anataka kuwa chini ya?
Na Mambo yanaenda Mimi nilitoa tamko nipo tayari kufa siyo kukosa utajiri tu.
Mungu ni mwema maisha ni mzuri waliobaki upande ule nimewaacha kilomita nyingi tu.mimi siyo tajiri ila naridhika nilipofikia naona ninachokifanya .
Mwisho niulize swali ukishapata hayo maisha mazuri alafu? Utaondoka na nao ? Nafsi yako itatulia?
Wito wangu vunjeni hayo maagano bila kurudi nyuma au kuangalia nyuma hakuna baya litakalo kupata
Sent using Jamii Forums mobile app
FafanuaPia wazaliwa wa kwanza wana siri za wadogo zao kwa kiasi fulani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo lazima uogopeFafanua
Kama we ni wa kwanza, mimba za wadogo zako au katika uchanga wao unajua mama yako alikuwa ktk mapitio gani. Angalia mapitio ya mama yako halafu husisha na tabia za watoto. Tabia zinatofautiana kati ya mimba/kichanga alipokuwa na madeni, alipokuwa anapigwa, alipokuwa ana pesa nzuri, alipokuwa anakaa juani kuuza mitumba/kuvuna mazao vs alipokuwa ofisini/home kivulini amenyosha miguu anakula Bata; alikuwa anaenda hospitali au kwa mganga au kukanyaga mafuta n.k haya yote anayaona mzaliwa wa kwanza.Fafanua
Hizi dini tulizonazo hazina msahada kabisa! Ukiwaendea wanakwambia mwamini Mungu tu! Tumwamini Mungu kivipi? Maandiko yako! Nani wa kutufundisha?Sasa tufanyeje ndugu maana ndo hali halisi tuliyonayo wengi, tunajitahidi lakini hatusogei
Sent using Jamii Forums mobile app