Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Kati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther.
Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa tunadanganywa tu.
Ujasiri wao ndio umetuweka wazi mpaka leo, Luther alihatarisha maisha yake sababu ya neno la Mungu na Tyndale alichomwa moto sababu ya biblia.