Kama siyo Martin Luther na William Tyndale basi mpaka leo tungekuwa watumwa wa Katoliki

Hata wakatoliki wenyewe kuna mifumo waliyonayo leo imeasisiwa na hawa watu. Wali challenge u katoliki na kanisa likakubali kubadili mifumo.
 
Imagine hata kutafsiriwa Tu Kwa Bible ilikuwani uhaini ,wengi hapo kama huyo Tyndale nadhani aliuawa Kwa kuchomwa Moto mpaka kufa Kwa kosa la kukosoa uMungu mtu WA institution ya upapa na kutafsiri biblia Kwa lugha nyingine

Sasa hivi wanaonekana jamii nyingine Ndio maktili kma huko nyuma hapakua na ukatili wa hatari..
Haya mambo ni yana vipindi vyake Kila Zama
Very sad [emoji22]
 
Nikuulize kitu labda kama wewe kweli unajua kitu na Umesoma kweli history ya hao watu.

Je Biblia Aliyoiacha Martin Luther Ndio mpaka leo Waprotestanti mnaitumia?
Biblia ni biblia tu, kinachobadilika ni tafsiri lakini maana ni ile ile.
 
Imagine hata kutafsiriwa Tu Kwa Bible ilikuwani uhaini ,wengi hapo kama huyo Tyndale nadhani aliuawa Kwa kuchomwa Moto mpaka kufa Kwa kosa la kukosoa uMungu mtu WA institution ya upapa na kutafsiri biblia Kwa lugha nyingine
Mkuu tulikua gizani,yani kulihitajika mtu wa kujitoa kweli kweli kama hawa watu
 
Kati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther.

Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa tunadanganywa tu.

Ujasiri wao ndio umetuweka wazi mpaka leo, Luther alihatarisha maisha yake sababu ya neno la Mungu na Tyndale alichomwa moto sababu ya biblia.
Kwa hiyo sasa wewe ni mtumwa Luther na ndio maana unaitwa Lutheran!
 
Nikuulize kitu labda kama wewe kweli unajua kitu na Umesoma kweli history ya hao watu.

Je Biblia Aliyoiacha Martin Luther Ndio mpaka leo Waprotestanti mnaitumia?
Jibu ni hapana! sio wanaoitumia ndugu!
Unajua hawa jamaa ni vigeugeu kwelikweli ndio maana hadi leo ktk makanisa yao hawaaminiani wao kwa wao!
Kila uchwao ni kupinduana! 🤣 🤣
 
Ww unatumia biblia gani?
 
Walioongoza kanisa katoliki enzi zile walikuwa ni makatili haswa ,ukisoma Ile historia ya Spanish inquisition Chini ya wale majesuit ndio utaelewa
Hata leo wanafanya ukatili kupitia serikali.
Wanamikakati ya kuhakikisha wanaweka
Marais na wanafanya kwa akili sana.

Sehemu yoyote anapoongoza mkatoliki huwa kuna vitendo vya kuumiza sana watu kimaslahi au kwa kazi ngumu na dhulma na vitisho usipokuwa mnyenyekevu
 
Kweli
 
Walioongoza kanisa katoliki enzi zile walikuwa ni makatili haswa ,ukisoma Ile historia ya Spanish inquisition Chini ya wale majesuit ndio utaelewa
Martin alifanya matengenezo makubwa lakini baadae waliofuata walichomekewa mamluki wakalirudisha kanisa kwenye upagani wa Kikatoliki japo Kwa kificho sana lakini Kuna Bado LADHA ya upagani wa Kikatoliki unejikita kwenye makanisa.
 
Jibu ni hapana! sio wanaoitumia ndugu!
Unajua hawa jamaa ni vigeugeu kwelikweli ndio maana hadi leo ktk makanisa yao hawaaminiani wao kwa wao!
Kila uchwao ni kupinduana! [emoji1787] [emoji1787]
Biblia Haina tatizo Wala KORAN tatizo ni miongizi na Katiba na taratibu za makanisa yao na kugombania vyeo.
Hata Papa hafuati Biblia ndio maana yupo pale kama Kiongozi mkuu wa kanisa katoliki laki sio agizo la Biblia.

Qoran na Hadithi za Mtume ni sehemu ya mafundisho ya Agano la kale na vitabu vilivyofichwa na himaya ya Rumi kuwagawa wanadamu ili iwe rahisi kuwatawala.

Yani muislam anaona kitabu chake ni kila kitu kumbe ni sehemu TU alipewa na hao hao warumi. Wasomi wakifika kiwango Cha juu cha dini na historia ya viatbu vya dini wa kikatoliki wanajua na Wana Siri kubwa sana.

Maana ya Roman Empire kutengeneza dini pinzani ni kuleta upinzani Kwa Dini ya Kiyahudi isije ikatawala Dunia kupitia Ukristo wa kweli.

Kila nikijaribu kusoma Vitabu vilivotengwa tengwa kwenye Biblia ya zamani naona ndivyo vinavyotengeneza Hadithi za Mtume.
Kwa sababu waislam wengi hawajawahi kuvisoma wanadhani ni mambo mapya yaliyoletwa na Mtume kumbe naye alipata Elimu hiyo Kwa makasisi wa Kikatoliki na walipobaini kuwa ni mtu mwaminifu na mwenye msimamo wakaamua kuwa naye karibu na kumpa moyo kuwa atakuwa Nabii wa Mungu na kuwa Kiongozi mkubwa.

Hiyo ni kawaida TU unapotaka kuleta mageuzi Fulani unaandaa watu wenye kuweza kuleta mageuzi halisi.

Hivyo dini zote zinatumia vitabu sahihi ila wamegawanywa Kwa manufaa ya Wapagani wa Kirumi na Ulaya mpaka Leo mana watu hawajazinduka na kuachana na chuki huku Papa akijifanya kupatanisha na kuwa Kiongozi wa kiroho huku akiwa anatawala Dunia Kwa mgongo wa dini lakini akiwa nyuma ya mataifa Maovu na kandamizi. Utakuta Mkatoliki yupo Songea kule anampigania Papa kuliko Yesu. Ukimwambia Nipe andiko analeta hasira na vitisho . Vitabu vya dini havijabadilishwa.
Biblia na Korani vimekataza Ibada ya kusujudia Sanam lakini mpaka Leo watu wanasujudia Sanam na uliwaambia kuwa HAIPO kwenye Biblia inakua ni matusi na vurugu na jaziba kubwa sana. Wakati huo huo Biblia ya Kikatoliki ndiyo iliyolaani Ibada na kusujudia sana kuliko vitabu vyote vya dini. Lakini kwasababu wanajua waumini wao hawana Maarifa hayo zaidi ya maarifa ya Kidunia na sayansi wanawashikia akili.

Hata kwenye mitandao Biblia ya Kikatoliki haijawekwa kwenye Plystore. Hivo inayosomwa sana ni Ile ya Waprotestant.
 
Aisee ukweli mtupu umeandika wapo kama mazombi kuhusu kuabudu sanamu
 
Back
Top Bottom