Tyndale ndo chanzo cha jina Tandale
NDIYOTyndale ndo chanzo cha jina Tandale
Walioongoza kanisa katoliki enzi zile walikuwa ni makatili haswa ,ukisoma Ile historia ya Spanish inquisition Chini ya wale majesuit ndio utaelewaKati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther. Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa tunadanganywa tu.
Ujasiri wao ndio umetuweka wazi mpaka leo, Luther alihatarisha maisha yake sababu ya neno la Mungu na Tyndale alichomwa moto sababu ya biblia.
Imagine hata kutafsiriwa Tu Kwa Bible ilikuwani uhaini ,wengi hapo kama huyo Tyndale nadhani aliuawa Kwa kuchomwa Moto mpaka kufa Kwa kosa la kukosoa uMungu mtu WA institution ya upapa na kutafsiri biblia Kwa lugha nyingineKati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther. Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa tunadanganywa tu.
Ujasiri wao ndio umetuweka wazi mpaka leo, Luther alihatarisha maisha yake sababu ya neno la Mungu na Tyndale alichomwa moto sababu ya biblia.