Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

Hata mimi napenda choo cha kuchuchumaa kuliko cha kukaa. Ila mimba hizi tumbo likiwa kubwa ni bora cha kukaa tu jamani kuchuchumaa unaumia😂
 
Acha uongo chief iv unapata faida gani kuandika uongo km huu hapa jf? Hayo madhara wazungu hayawapati? Maana vyoo vyao miaka yote ni hivyo vya kukaa!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Fundi umeme na pia fundi ujenzi (mason/building) ila sio fundi plumbing wala sio daktari alisomea biology ila anaongea kama kasuku

Sometimes uache wenye hizo fani waongee

Wewe ungefungua uzi wa kuuliza maswali wenye PhD wakusaidie au professional plumbers wakusaidie

Gari ya automatic ilijengwa kwa ajili ya vilema,lakini leo 90% ya dunia nzima huendesha automatic cars hata wewe included.

So what the fvck are you saying?
 
Sijui kama unaelewa maana ya dhana asilia na teknolojia!

Teknolojia haitakiwi kuwa kinyume na dhana ya asili!
Huwezi kusema mwananume abebe mimba kwasababu ya teknolojia, teknolojia nzuri ni ile inayoboresha katika uhalisia!

Umetoa mfano wa gari!
Zamani gari zilikuwa manual lakini uhalisia walikaa kwenye kiti! Ubunifu wa teknolojia ya automatic hauondoi dhana ya dreva kukaa kwenye kiti!

Ningekuelewa kama wangetoa Automatic ya dereva kukalia kichwa au mgongo au kusimama akiwa ana endesha ..

Hoja ya choo cha kukaa inabanwa na dhana ya kuchuchumaa!

Pasipo kuchuchumaa tayali ushakwenda kinyume na maumbile ambayo mwanadam kaumbiwa katika uhalisia!
Fanya mambo yako yote, boresha vyoo vyote lakini ile dhana ya kuchuchumaa haitakiwi kuharibiwa!

Ndiyo maana kwa kulitambua hilo viwanda vya vyoo vya kukaa wameanza kutoa side bench ili mtu apande achuchumae
 
Kuchuchumaa kunaleta ganzi kwenye miguu damu haizunguki vizuri Kipande hicho ikizingatiwa haja za siku hizi zinachukua mda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…