Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nice messageMimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu.
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa.
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa.
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya.
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa;
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha Bawasiri
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia;
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo;
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile
View attachment 2886667
Choo cha kukaa ni choo kama vyoo vingine ila kinachotusumbua watanzania ni mazoea na ushamba
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hahaha 🤣Kwamba maumbile ya muafrika na watu wa asia ni tofauti kwenye kufunguka?
Ushauri wako ni mzuri na una nia njema japo hukuzingatia baadhi ya hali za watu.Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu.
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa.
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa.
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya.
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa;
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha Bawasiri
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia;
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo;
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile
View attachment 2886667
Mkorofi sanaAmekuambia ni mjenzi, ninadhani huyu ni yule fundi Maiko( Michael).
😂😂😂😂Ni ushamba wa waswahili wenzetu hawali vyakula vizito hivyo haja yao kama bata tu sasa sisi waswahili ugali wa uwele kwenye hata bila msaada wa kidole hupati na choo Cha kukaa kifuatacho bawasili tu.
Sio hoja maana vyoo vya kukaa ni asilimia 85 dunia kote vinatumika... muhimu watu wazikatie usafi kwenye vyoo..Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu.
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa.
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri zaidi anapochuchumaa ili kujisaidia kuliko akikaa.
Sehemu za haja zimeumbiwa seal (mfuniko) ambao ili ufunguke ni lazima binadamu achuchumae ndipo swichi iliyopo kwenye ubongo iruhusu kusukuma uchafu (haja).
Hilo kufanyika kinyume chake ni sawa na kuulazimisha kukata kifuniko hicho kwa nguvu (seal)
Ambapo ni hatari sana kiafya.
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumpata binadamu kwa kutumia choo cha kukaa;
1. Kukata au kulegeza seal kifuniko cha haja kubwa
2. Inaweza sababisha Bawasiri
3. Haimalizi haja hususani kwa watu wasiyokunywa maji mengi
Faida za kuchuchumaa wakati kujisaidia;
1. Mwili ndivyo ulivyoumbwa ndiyo maana makalio yaligawanywa pande mbili ili uchuchumae
2. Ni sehemu pekee ya kuupa mwili mazoezi
3. Ni kipimo cha kujitathimini afya ya uzito na mifupa (ukiweza kuchuchumaa na kunyanyuka kirahisi)
4. Humaliza haja yote
Kipi kifanyike ili kulinda muonekano mzuri wa choo;
1. Kwa watumiaji wa vyoo vya kuchuchumaa vipo vifuniko vizuri vinavyeleta muonekano mzuri chumbani
2. Kwa watumiaji wa choo cha kukaa, zipo bench au Vikanyagio vya pembeni ambavyo unaweza kuviweka kwenye choo chako pembeni ili kukusaidia kukanyaga na ukajisaidia pasipo kukaa! (Na vikanyagio hivyo unaweza kuvitoa wakati wowote ukihitaji maana ni vya kusogeza kama viti) ili muonekano wa chumba chako ubaki na hadhi ileile
View attachment 2886667
Acha ushambaSijawahi kutumia hivyo vyoo, nikivikuta mahali ni lazima nipande juu ili nichuchumae