Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

Kwa mara ya kwanza leo naona wazungu wamefeli kwenye ubunifu wao.

Ila ni mazoea tu vyoo vyote ni sawa.
Wazungu noma sana na wa kuwa nao makini sana!
Hiyo haja ikiwa sealed vizuri kwa wanaume hata uwezo wa kurusha mkojo au....... Unaongezeka!

Huko nyuma pakiwa wazi ni changamoto hata ufanisi wa ......unapungua
 
Una pointi kubwa sana. Actually kuna tafiti zinazoonyesha kwamba kuna uhusiano kati ya kuongezeka kwa kansa ya utumbo na ile ya nyuma (colorectal and anal cancers) na kuanza kwa matumizi ya vyoo vya kukaa katika nchi za Kimagharibi japo hawajajua kama ni uhusiano wa kibahati tu au ni uhusiano wa kiusababishi (cause and effect).

Kwenye vyoo vya kukaa uchafu tumboni huwa hauishi na uchafu huo unaweza kusababisha matatizo makubwa (ikiwemo kansa) hasa ukioza na hatimaye kuathiri mfumo wa bakteria wazuri wa tumboni.

Vyoo vya kukaa pia visiposafishwa vizuri na mara kwa mara huwa na bakteria wengi hatarishi na hivyo ni rahisi kupata maambukizi ya kila aina. Hali ni hatari zaidi hasa kama ni choo cha umma.
Sasa kwa umri wako kaka angu si utavunjika nyonga
 
Wazungu noma sana na wa kuwa nao makini sana!
Hiyo haja ikiwa sealed vizuri kwa wanaume hata uwezo wa kurusha mkojo au....... Unaongezeka!

Huko nyuma pakiwa wazi ni changamoto hata ufanisi wa ......unapungua
Ni mazoea tu hakuna ukweli wowote.
Ukishazoea cha kuchuchumaa lazima cha kukaa uone hakifai.

Binafsi napendelea cha kukaa, haja inatoka vzr huku unaperuzi jf hata ukiamua kwenda na maandazi yako unakula vzr bila tatizo
 
Safari zangu zote ughaibuni (USA included) sikuwahi kamwe kukiona choo cha kuchuchumaa. Kamwe sikukiona. Mnaopenda vya kuchuchumaa ni hiyari yenu lkn aliyetutangulia technology yuko vya kukaa. Vya kuchuchumaa ni upgrade toka vya shimo kijijini. Wanaleta maneno meengiiii, urongo mtupu.
Hukufika kwa Matajiri/Mabilionea.
Kuna vyoo vya Dhahabu vya Kuchuchumaa.
 
Back
Top Bottom