Kama Slogan yako ni ya 'Kazi Iendelee' kwanini Wamachinga hawana imani nawe?

Acheni nyie nchi yote iwekwe ransom na Machinga na Boda Boda? Kwanza mama asafishe mji na hao Boda Boda waishie km 5 nje ya mji. Hatuwezi kuendelea kuwa na mji mchafu, vurugu nk. Lazima tuwe kisasa. Hizi idea za umaskini unaoendelea viishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…