Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
Kwa wanaume stress za mapenzi hazina nafasi kubwa maana ni wepesi kuvuta chombo kipya kuziba pengo.Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?
Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hazikuniua 2017 hazitoniua tena, Yule mrombo madako yake huko alipo.
Poleni sana mnaopitia changamoto hiyo kwa sasa, jikazeni.
Alikuwa ni mrombo, yule mwanamke alinikomesha nilikua sisikii la kuambiwa wala lakutendewaπ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiiiiii...sasa Rombo imeingiaje kwenye mapenzi yenu lakini?
Jana tu ningekata moto mkuuEti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?
Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
ilikuwaje2014
Mwanaume unakuwaje na stress za mapenzi ?Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?
Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
mzee wangu polee sana kumbe wasukuma nao sio haba.Desemba mwaka huu nagonga miaka 77. Nilifikiri kwamba nimeshamalizana na hizi hekaheka za mapenzi. Aaaa wapi bwana. Kumbe ni kweli hayanaga mwongozo. Yaani nimekuja kubananishwa na kibinti cha Kisukuma kimatani matani tu hivi najiona kabisa na akili zangu kamili....
Ni siteresi 24/7 na sioni hata dalili za kujinasua yaani. Kweli hujafa hujaumbika wallahi!
Ila nitatoboa tu πͺπͺπͺπͺ
Mkuu hata Wasukuma nao ni binadamu tu wa kawaida kama nyie makabila mengine "ya maana".mzee wangu polee sana kumbe wasukuma nao sio haba.