Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?

Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
Kuna watu kila wakikumbuka ilivyokuwa ina naniliu kwa ndani, wanaishiwa nguvu 😂😂😹😹
 
Dah 2012 yule kenge alikuwa anantoa roho na mapenz yang ya kihindi
 
Back
Top Bottom