Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiiiiii...sasa Rombo imeingiaje kwenye mapenzi yenu lakini?
Kwani na wewe sis ni Mrombo? ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?

Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
Kuna watu kila wakikumbuka ilivyokuwa ina naniliu kwa ndani, wanaishiwa nguvu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Dah 2012 yule kenge alikuwa anantoa roho na mapenz yang ya kihindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ