Kwa akili yako unaamini kuwa korona huja kwa kuombwa na inaenea kwa kuombwa!...??Haina haja ya kumjibu. Maana hata post za wenzake waliomba ugonjwa uje aliziona na waliomba wagonjwa waongezeke aliziona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako unaamini kuwa korona huja kwa kuombwa na inaenea kwa kuombwa!...??Haina haja ya kumjibu. Maana hata post za wenzake waliomba ugonjwa uje aliziona na waliomba wagonjwa waongezeke aliziona.
Hawa watu ni zaidi ya vichaa, wanatenda wao na wenzao wanaona wanavyokengeuka na kukaa kimya. Yakiwashinda wanarudi na story za ajabu bila aibu.Umeandika kwa kutumia kichaa au kitu gani??
Hivi aliyeleta kejeli ni nani? Nani akiyewaita Wapinzani ni Corona? Nani akiyeidhalikisha Familia ya Mbowe? Nani aliyesema hatua zichukuliwe mapema kule bungeni wabunge wa CCM wakagoma?? Sasa hivi mlivyokuwa wanafiki mmeona mambo yanawazidi mnakataa kuwa accountable! I hate you guys aiseee
Mtaji wa Ccm ni watu kama hawa! Sijui akili huziacha wapi?Haina haja ya kumjibu. Maana hata post za wenzake waliomba ugonjwa uje aliziona na waliomba wagonjwa waongezeke aliziona.
Hali imeshakua mbayaHawa watu ni zaidi ya vichaa, wanatenda wao na wenzao wanaona wanavyokengeuka na kukaa kimya. Yakiwashinda wanarudi na story za ajabu bila aibu.
Mzee wao ndio chanzo cha hali hii kwa sababu ya mizaha yake, lakini ajabu ndio wanamtukuza na hata alipowaambia eti tuombe siku 3 basi zikawa siku za kumtukuza yeye na sio Mungu tena.
Aambiwe aachie ngazi, balaa laweza kuwa kubwa zaidi maana Mola hakejeliwi. Mama anaweza kushika jukumu hadi octoba. Nimesema.
Ndicho mlichobakiza matusi na maneno machafu
Kwa hiyo jamaa zenu walioandika wakiomba hili janga lije na lianze kuua watu wa upande flan mnajifanya hamuwajui?Umeandika kwa kutumia kichaa au kitu gani??
Hivi aliyeleta kejeli ni nani? Nani akiyewaita Wapinzani ni Corona? Nani akiyeidhalikisha Familia ya Mbowe? Nani aliyesema hatua zichukuliwe mapema kule bungeni wabunge wa CCM wakagoma?? Sasa hivi mlivyokuwa wanafiki mmeona mambo yanawazidi mnakataa kuwa accountable! I hate you guys aiseee
Kusema kwamba hata mtoto wa kiongozi flan anaumwa ni makosa? Wakati yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa!Hivi ushamsikia Nani anafurshia wenzake waugue Corona isipokuwa mmoja tu bahe Ni Makonda. Sasa huyo Makonda siYuko CCM .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataje hapa, nani? Acha unafiki! Jamaa zetu akina nani?Kwa hiyo jamaa zenu walioandika wakiomba hili janga lije na lianze kuua watu wa upande flan mnajifanya hamuwajui?
Nikiwataja mtasema nawachomea maana hamna dogo. Ila hapa mabandiko yao mliyasoma na mkawa mnashabikiaWataje hapa, nani? Acha unafiki! Jamaa zetu akina nani?
Huo unafiki! Kaa kimyaNikiwataja mtasema nawachomea maana hamna dogo. Ila hapa mabandiko yao mliyasoma na mkawa mnashabikia
Ujumbe umefika lakini. Uzalendo kwanza na maendeleo hayana vyama.Huo unafiki! Kaa kimya
Mtu akisema ukweli mnaanza kusema amewachafua. Ukweli unauma sana.Hili bandiko lako ni la kuwachafua wapinzani wala hukuwa na haja yoyote ya kuanzisha uzi, bali ungechangia humo humo ulipoona huo upotoshaji. Nilidhani una suluhisho la huu ugonjwa, kumbe unaonyesha hisia zako hasi dhidi ya upinzani. Hakuna asiyepambana na huu ugonjwa, ila kupambana na huu ugonjwa kwa maombi, ni usanii maana sio tatizo la kiroho bali la kisayansi.
Mtu akisema ukweli mnaanza kusema amewachafua. Ukweli unauma sana.
Kama mnafurahia taifa lipate janga kama hili nyie si maadui?Pole sana ndugu yangu! Leo unaona wapinzani kuwa ndo tatizo katika mapambano dhidi ya korona wakati wao si watendaji na hawana mamlaka yoyote! Kumbuka wao walishatimiza wajibu wa kuishauri serikali ichukue hatua gani dhidi ya tishio la mlipuko huu lakini je ni ushauri gani ulizingatiwa zaidi ya kubezwa.
Lakini kama kweli unataka watu waache siasa unadhani ni upande upi unatakiwa ubadilike; watawala au wapinzani? Unadhani zaidi ya kutoa ushauri ni jambo gani lingine ambalo wapinzani wanaweza kufanya kuonesha huo mshikamano?
Unamjua Freema Mbowe? Mtu huyu ndo "gear changer" wa siasa za Tanzania. Binafsi naamkataa kwasababu kitendo chake cha "kubadili gia angani" ndio chanzo cha siasa za hovyo tunazopitia hivi sasa. Hata hivyo natambua na kumtaja kuwa alishaomba na hadi sasa anapigia kelele pawepo na mwafaka wa kitaifa. Je, Mbowe alionanini mbele? Aliiona korona ambayo leo wewe unataka pawepo na mshikamano wa kitaifa? Makada wenzio wa CCM walipokeaje wito wa Mbowe? Je, kwa akili yako unadhani kuna tofauti kati ya wito wako wa "shikamano wa kitaifa" na ule wa "Prof. Mbowe" wa Maridhiano ya kitaifa?
Na unaposema wapinzani wanaombea hali iwe mbaya unaweza kuthibitisha hicho unachokisema kwamaana binafsi sijawahi na sitarajii kuwepo na "mpinzani" ambaye hana akili kiasi hicho.
Kama kweli unaumizwa na "siasa" juu ya gonjwa hili basi ingefaa uwakemee hawa wafuatao kwa kauli zao au vinginevyo useme kauli zao sio siasa (mzaha) dhidi korona.
1. Polepole (Katibu Mwenezi CCM) aliposema wapinzani ni maadui sawa sawa na korona.
2. Makonda (RC-Dar) aliposema "watu hawatoki ndani wanasubiri korona, kwani korona kitu gani"
3. Bulembo (Mbumge wa CCM) aliyesema "njia sahihi ya kupambana na korona tumchague Maguli aendelee kutuongaza". Alisema hivyo tena wakati huyo Magufuli ndo aliyeko madarakani.
Ukweli ni kwamba, anayetoa onyo siku zote anakuwa na maono/ufahamu juu ya hatari iliyopo. Bali anayepewa onyo na akashindwa kuzingatia maana yake ni mjinga au mzembe. Kinachotokea sasa kinafanana na ule msemo "mtoto akilia wembe mpe" kwa maana akijikata ndo atajua kumbe kiwembe sio "mdoli" bali umetengenezwa kwa ajili ya kukata. Hii ni namna dulani ya kutoa somo kwa vitendo. Humu JF kuna msemo maarufu wa "time will tell" na ule "muda" ndio sasa somo la wapinzani linaingia kwa vitendo kwenye vichwa zero vya watu sampuli ya Jiwe and Co. Lakini si kwamba anayeonya anatamani kutokee jambo baya.
Kiufupi ni kwamba serikali imedhihirisha UJINGA na UZEMBE iliposhindwa kuzingatia walichoonywa na wapinzani. Pole sana!
Mbona unasema nawachafua? Wakati mimi naeleza kweli ya mambo. Kipeperushi cha mshahara alipoweka ile tweet ya mbunge wenu ikionyesha ambulance ikibeba maiti na wahudumu wamevaa PPE mlianza kufurahi na kuizodoa serikali. Acheni mambo ya kitoto.Duuuuu kazi iko. Kwahiyo hiki ulichosema ndio ukweli unaoumiza!?
Mbona unasema nawachafua? Wakati mimi naeleza kweli ya mambo. Kipeperushi cha mshahara alipoweka ile tweet ya mbunge wenu ikionyesha ambulance ikibeba maiti na wahudumu wamevaa PPE mlianza kufurahi na kuizodoa serikali. Acheni mambo ya kitoto.
Nadhani umeanza kupata picha. Ndio maana nimesema inasikitisha sana wafuasi wa vyama vya upinzani kufurahia ... Kwa hii ni dhahiri hata wewe uliona jamaa zako walivyofurahia hata kama haukuchangia unaweza kuwa ulifurahia impliedly.Nenda kwenye hiyo post uone hata kama nilichangia. Mimi sio mwepesi wa hivyo boss. Huenda unadhani mimi ni mwepesi wa kihivyo.