Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

Nadhani umeanza kupata picha. Ndio maana nimesema inasikitisha sana wafuasi wa vyama vya upinzani kufurahia ... Kwa hii ni dhahiri hata wewe uliona jamaa zako walivyofurahia hata kama haukuchangia unaweza kuwa ulifurahia impliedly.

Unaongozwa na hisia zaidi, ndio maana unagenerise mambo. Usijenge mlima wa uhakika katika kichuguu cha mawazo.
 
Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19).

Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni hatua zipi za haraka tuchukue.

Mpaka sasa total reported cases ni kama 170.Ila waliopona ni wachache sana ukilinganisha na maambukizi, maana wamepona watu 11. Hii inaonyesha wanaopona ukilinganisha na maambukizi ni ratio ndogo sana.

Nina hakika kabisa kabisa huduma za afya hapa Tanzania ni duni ukilinganisha na mataifa kama Usa,Italy, Spain au Italy. Hivyo kama wagonjwa wakiongezeka itakuwa balaa kubwa.

Nashangaa sana kuna watu ati kisa ni wafuasi wa vyama vya upinzani basi wao wanafurahia hili janga liliwaue watanzania kwa wingi. Kisa tu serikali iliyopo madarakani ionekane imefeli kukabiliana na hili janga.

Hii haijakaa vizuri kabisa.
Kama taifa tuonyeshe umoja kwa kila namna ili kila mtu atoe mchango wake wa kila namna ili kukabiliana na hili janga. Tuache siasa za kupotosha au kupunguza morale ya kupambana na hili janga.
Umeanza vizuri lakini katikati nawe umeleta siasa !!.

Ugonjwa huu umeletewa siasa na hao unaowaita viongozi wa serikali .

Odhis *
 
Umeanza vizuri lakini katikati nawe umeleta siasa !!.

Ugonjwa huu umeletewa siasa na hao unaowaita viongozi wa serikali .

Odhis *
Jaduong tatizo lako unapenda kulaumu sana upande mmoja. Tuwe neutral hasa katika janga kama hili.
 
Jaduong tatizo lako unapenda kulaumu sana upande mmoja. Tuwe neutral hasa katika janga kama hili.
Onghwise , ujue serikali ina wajibu na maisha ya kila siku ya mwananchi. Kwani wameapa kulinda na kusimamia ustawi wa taifa letu. Sasa wanaposhauriwa kufuata taaluma ya jambo husika, halafu unasikia kiongozi mkuu anasema tusitishwe !!. Unabaki unashangaa. Hapo unalaumuJe wapinzani ?! Tuwe wakweli

Leo hii Dar na Zanzibari ilitakiwa ziwe zimeshafungiwa ili ugonjwa uwe controlled huko. Lakini kinyume chake ndege, mabasi na hata treni zinasomba na kuendelea kuuguza nchi nzima. Hapa unawalaumuJe wapinzani ?!. K

ikwetu wanasema ukiona giza toka ukojoe nje sio ndani kwa kuhofia giza. Maana yake hutakiwi kuendelea kutukuza madhaifu ya serikali kisa tu uoga. Mwisho ug

Odhis *
 
Onghwise , ujue serikali ina wajibu na maisha ya kila siku ya mwananchi. Kwani wameapa kulinda na kusimamia ustawi wa taifa letu. Sasa wanaposhauriwa kufuata taaluma ya jambo husika, halafu unasikia kiongozi mkuu anasema tusitishwe !!. Unabaki unashangaa. Hapo unalaumuJe wapinzani ?! Tuwe wakweli

Leo hii Dar na Zanzibari ilitakiwa ziwe zimeshafungiwa ili ugonjwa uwe controlled huko. Lakini kinyume chake ndege, mabasi na hata treni zinasomba na kuendelea kuuguza nchi nzima. Hapa unawalaumuJe wapinzani ?!. Kikwetu wanasema ukiona giza toka ukojoe nje sio ndani kwa kuhofia giza. Maana yake hutakiwi kuendelea kutukuza madhaifu ya serikali kisa tu uoga. Mwisho ugonjwa huu utamalizwa na taaluma si siasa za nani ni shujaa. Waulize wa Germany, China na sasa Rwanda wamefaulu vipi kupunguza maambukizi . Hebu tuache ushabiki wa kumuunga mtu hata kama anafanya mambo ya hovyo.

Odhis *
Jaduong unaweza ukawa na ushauri mzuri. Hivi total lockdown inawezekana kwa mji kama dar? Alafu kuwa na maambukizi mengi hapa Dar ndio kusema wananchi wote wa Dar wanamaambukizi? Sio kwamba hatua za kufuatilia wale ambao walikuwa na wagonjwa zitiliwe mkazo. Na kama ikiwezekana social distancing measure izingatiwe kwa umakini?

Pia unakosea sana kusema watu wanamtukuza kiongozi wao. WHO wamesema kila nchi iangalie namna ya kupambana na huu ugonjwa hasa kulingana na uchumi wa nchi husika.

Kwa hiyo Rwamda ni nchi ndogo sana kusema kwamba tuwaige inategemea. Na je kwa jinsi Dar ilivyo na watu mil tano na zaidi na mji umesambaa na hakuna mipango miji, tutaweza kukontrol hiyo lockdown?
 
Jaduong unaweza ukawa na ushauri mzuri. Hivi total lockdown inawezekana kwa mji kama dar? Alafu kuwa na maambukizi mengi hapa Dar ndio kusema wananchi wote wa Dar wanamaambukizi? Sio kwamba hatua za kufuatilia wale ambao walikuwa na wagonjwa zitiliwe mkazo. Na kama ikiwezekana social distancing measure izingatiwe kwa umakini?
Pia unakosea sana kusema watu wanamtukuza kiongozi wao. WHO wamesema kila nchi iangalie namna ya kupambana na huu ugonjwa hasa kulingana na uchumi wa nchi husika. Kwa hiyo Rwamda ni nchi ndogo sana kusema kwamba tuwaige inategemea. Na je kwa jinsi Dar ilivyo na watu mil tano na zaidi na mji umesambaa na hakuna mipango miji, tutaweza kukontrol hiyo lockdown?
Umeonyesha kushindwa kabla kupambana na tatizo . Hatusemi Dar na Zanzibari zifanyiwe hiyo inayoitwa total lockdown . Hapana.
Lakini wabaki kwenye miji hiyo na serikali iongeze nguvu huko mpaka ugonjwa uwe controlled. Sasa kuendelea kuwaruhusu waendelee kuuguza nchi nzima kwa kuhofia miundombinu yake si suluhu. Nakuambia hatutaweza kuhudumia nchi nzima . Kama tumeshindwa kudhibiti mikoa hii miwili.

Rwanda pamoja na udogo wake na uchumi wake nao ni mdogo, kulinganisha na Tanzania . Kinachotakiwa ni utashi na vipaumbele. Kitu ambacho wao wamedhamiria kutokomeza huu ugonjwa .

Hapa kwetu wana utashi na wizara ya mambo ya ndani mpaka wanawapa budget yao kwa 205% . Wakati wizara muhimu kama afya inapewa 15% . Hii ni kwa mujibu wa bunge linaloshindia.

Unajua ni kwanini ?!.
Kwa sababu moja inalinda mamlaka na nyingine ni ya wananchi .

Serikali iiangalie upya wizara ya afya na mipango yake dhidi ya Corona. Kama ni fungu liidhinishwe na kutolewa. Siyo liidhinishwe kiinimacho [emoji120]

Odhis *
 
Hujaweka ushahidi wowote hapa unaruka ruka tu kama kuku aliyekatwa kichwa, weka ushahidi wa hizo tuhuma zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una roho mbaya sana dhidi ya serikali kama ni nyoka basi ni koboko.
Huyu ni mmoja wa wana Chadema ambae aliombea mabaha taifa letu kama wewe unavyoombea.
 
Attachments

  • IMG_20200420_0001.jpeg
    IMG_20200420_0001.jpeg
    124 KB · Views: 1
Kama mnafurahia taifa lipate janga kama hili nyie si maadui?
Unalazimisha ionekane tunafurahia na kutubebesha lawama sisi tunaoshauri badala ya kuilaumu serikali yenye vyombo vya utendaji dhidi ya korona. Tambua hata wapinzani wasingeleta hizo mnazoita siasa bado janga hili lingetokea kutokana na uzembe wa watawala. Pole sana!
 
Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19).

Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni hatua zipi za haraka tuchukue.

Mpaka sasa total reported cases ni kama 170.Ila waliopona ni wachache sana ukilinganisha na maambukizi, maana wamepona watu 11. Hii inaonyesha wanaopona ukilinganisha na maambukizi ni ratio ndogo sana.

Nina hakika kabisa kabisa huduma za afya hapa Tanzania ni duni ukilinganisha na mataifa kama Usa,Italy, Spain au Italy. Hivyo kama wagonjwa wakiongezeka itakuwa balaa kubwa.

Nashangaa sana kuna watu ati kisa ni wafuasi wa vyama vya upinzani basi wao wanafurahia hili janga liliwaue watanzania kwa wingi. Kisa tu serikali iliyopo madarakani ionekane imefeli kukabiliana na hili janga.

Hii haijakaa vizuri kabisa.
Kama taifa tuonyeshe umoja kwa kila namna ili kila mtu atoe mchango wake wa kila namna ili kukabiliana na hili janga. Tuache siasa za kupotosha au kupunguza morale ya kupambana na hili janga.
Acha wafurahie wakifikiri wataenda Ikulu kwa mgongo wa vifo vya Watanzania. Hill halitatokea kamwe labda dunia iumbwe upya!
 
Watetea ccm na serikali yake sahivi wanajihami.endeleeni kupuuza tu
 
Wewe ni mmoja wa watu wanaoongoza kuandika mada za kuchochea chuki kati ya CCM na wapinzani,na hata kwenye uzi huu umeendelea kutoa tuhuma za kipumbavu kabisa kuwa Wapinzani wanafurahia kuendelea kwa maafa haya ya Corona ili kuikomoa Serikali. Jitafakari, hata mods niliwahi kuwaomba kuwa kipindi hiki wasiruhusu mada zinazochochea chuki kwani kama Taifa inabidi tuwe kitu kimoja kwani vyama vitapita lakini mwisho wa siku Taifa litabaki lakini naona mods wanafurahia malumbano ya kipumbavu badala ya kuwa hili ni jukwaa la kuelimishana na kupashana habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada anajifanya ana nia njema kumbe ndo kwanza anachochea. Hizi ndo siasa zenyewe lakini hajui.
 
Back
Top Bottom