Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

Umenikera ulipo wataja hao wachina

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Hawa watu ni zaidi ya vichaa, wanatenda wao na wenzao wanaona wanavyokengeuka na kukaa kimya. Yakiwashinda wanarudi na story za ajabu bila aibu.
Mzee wao ndio chanzo cha hali hii kwa sababu ya mizaha yake, lakini ajabu ndio wanamtukuza na hata alipowaambia eti tuombe siku 3 basi zikawa siku za kumtukuza yeye na sio Mungu tena.
Aambiwe aachie ngazi, balaa laweza kuwa kubwa zaidi maana Mola hakejeliwi. Mama anaweza kushika jukumu hadi octoba. Nimesema.
 
Hali imeshakua mbaya
 
Hii nchi inalaaana mkuu..,siasa kuwekwa kando kwenye majanga sio lwa Tanzania

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hiyo jamaa zenu walioandika wakiomba hili janga lije na lianze kuua watu wa upande flan mnajifanya hamuwajui?
 
Mtu akisema ukweli mnaanza kusema amewachafua. Ukweli unauma sana.
 
Kama mnafurahia taifa lipate janga kama hili nyie si maadui?
 
Duuuuu kazi iko. Kwahiyo hiki ulichosema ndio ukweli unaoumiza!?
Mbona unasema nawachafua? Wakati mimi naeleza kweli ya mambo. Kipeperushi cha mshahara alipoweka ile tweet ya mbunge wenu ikionyesha ambulance ikibeba maiti na wahudumu wamevaa PPE mlianza kufurahi na kuizodoa serikali. Acheni mambo ya kitoto.
 
Nenda kwenye hiyo post uone hata kama nilichangia. Mimi sio mwepesi wa hivyo boss. Huenda unadhani mimi ni mwepesi wa kihivyo.
 
Nenda kwenye hiyo post uone hata kama nilichangia. Mimi sio mwepesi wa hivyo boss. Huenda unadhani mimi ni mwepesi wa kihivyo.
Nadhani umeanza kupata picha. Ndio maana nimesema inasikitisha sana wafuasi wa vyama vya upinzani kufurahia ... Kwa hii ni dhahiri hata wewe uliona jamaa zako walivyofurahia hata kama haukuchangia unaweza kuwa ulifurahia impliedly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…