Nadhani umeanza kupata picha. Ndio maana nimesema inasikitisha sana wafuasi wa vyama vya upinzani kufurahia ... Kwa hii ni dhahiri hata wewe uliona jamaa zako walivyofurahia hata kama haukuchangia unaweza kuwa ulifurahia impliedly.
Akileta ushahidi unitag MkuuWeka ushahidi wapi niliwahi kupost kuliombea mabaya Taifa,usiongozwe na hisia nataka ushahidi hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnataka ushahidi gani wakati nimeshautoa? Mmesahau jamaa yenu alivyoweka ile tweet ya mbunge wenu ambapo ilionyesha maiti ikichukuliwa. Mmesahau mlivofurahia?Akileta ushahidi unitag Mkuu
Jibu ulichoulizwa kabla ya kudandia treni kwa mbele mkuu... au unamnukuu slowslow bado?Mnataka ushahidi gani wakati nimeshautoa? Mmesahau jamaa yenu alivyoweka ile tweet ya mbunge wenu ambapo ilionyesha maiti ikichukuliwa. Mmesahau mlivofurahia?
Nijibu nini? Wakati hata aliyeweka hiyo tweet humu Jf mnajua. Na mlifurahi kana kwamba ni jambo zuri.Jibu ulichoulizwa kabla ya kudandia treni kwa mbele mkuu... au unamnukuu slowslow bado?
Umeanza vizuri lakini katikati nawe umeleta siasa !!.Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19).
Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni hatua zipi za haraka tuchukue.
Mpaka sasa total reported cases ni kama 170.Ila waliopona ni wachache sana ukilinganisha na maambukizi, maana wamepona watu 11. Hii inaonyesha wanaopona ukilinganisha na maambukizi ni ratio ndogo sana.
Nina hakika kabisa kabisa huduma za afya hapa Tanzania ni duni ukilinganisha na mataifa kama Usa,Italy, Spain au Italy. Hivyo kama wagonjwa wakiongezeka itakuwa balaa kubwa.
Nashangaa sana kuna watu ati kisa ni wafuasi wa vyama vya upinzani basi wao wanafurahia hili janga liliwaue watanzania kwa wingi. Kisa tu serikali iliyopo madarakani ionekane imefeli kukabiliana na hili janga.
Hii haijakaa vizuri kabisa.
Kama taifa tuonyeshe umoja kwa kila namna ili kila mtu atoe mchango wake wa kila namna ili kukabiliana na hili janga. Tuache siasa za kupotosha au kupunguza morale ya kupambana na hili janga.
Jaduong tatizo lako unapenda kulaumu sana upande mmoja. Tuwe neutral hasa katika janga kama hili.Umeanza vizuri lakini katikati nawe umeleta siasa !!.
Ugonjwa huu umeletewa siasa na hao unaowaita viongozi wa serikali .
Odhis *
Onghwise , ujue serikali ina wajibu na maisha ya kila siku ya mwananchi. Kwani wameapa kulinda na kusimamia ustawi wa taifa letu. Sasa wanaposhauriwa kufuata taaluma ya jambo husika, halafu unasikia kiongozi mkuu anasema tusitishwe !!. Unabaki unashangaa. Hapo unalaumuJe wapinzani ?! Tuwe wakweliJaduong tatizo lako unapenda kulaumu sana upande mmoja. Tuwe neutral hasa katika janga kama hili.
Jaduong unaweza ukawa na ushauri mzuri. Hivi total lockdown inawezekana kwa mji kama dar? Alafu kuwa na maambukizi mengi hapa Dar ndio kusema wananchi wote wa Dar wanamaambukizi? Sio kwamba hatua za kufuatilia wale ambao walikuwa na wagonjwa zitiliwe mkazo. Na kama ikiwezekana social distancing measure izingatiwe kwa umakini?Onghwise , ujue serikali ina wajibu na maisha ya kila siku ya mwananchi. Kwani wameapa kulinda na kusimamia ustawi wa taifa letu. Sasa wanaposhauriwa kufuata taaluma ya jambo husika, halafu unasikia kiongozi mkuu anasema tusitishwe !!. Unabaki unashangaa. Hapo unalaumuJe wapinzani ?! Tuwe wakweli
Leo hii Dar na Zanzibari ilitakiwa ziwe zimeshafungiwa ili ugonjwa uwe controlled huko. Lakini kinyume chake ndege, mabasi na hata treni zinasomba na kuendelea kuuguza nchi nzima. Hapa unawalaumuJe wapinzani ?!. Kikwetu wanasema ukiona giza toka ukojoe nje sio ndani kwa kuhofia giza. Maana yake hutakiwi kuendelea kutukuza madhaifu ya serikali kisa tu uoga. Mwisho ugonjwa huu utamalizwa na taaluma si siasa za nani ni shujaa. Waulize wa Germany, China na sasa Rwanda wamefaulu vipi kupunguza maambukizi . Hebu tuache ushabiki wa kumuunga mtu hata kama anafanya mambo ya hovyo.
Odhis *
Umeonyesha kushindwa kabla kupambana na tatizo . Hatusemi Dar na Zanzibari zifanyiwe hiyo inayoitwa total lockdown . Hapana.Jaduong unaweza ukawa na ushauri mzuri. Hivi total lockdown inawezekana kwa mji kama dar? Alafu kuwa na maambukizi mengi hapa Dar ndio kusema wananchi wote wa Dar wanamaambukizi? Sio kwamba hatua za kufuatilia wale ambao walikuwa na wagonjwa zitiliwe mkazo. Na kama ikiwezekana social distancing measure izingatiwe kwa umakini?
Pia unakosea sana kusema watu wanamtukuza kiongozi wao. WHO wamesema kila nchi iangalie namna ya kupambana na huu ugonjwa hasa kulingana na uchumi wa nchi husika. Kwa hiyo Rwamda ni nchi ndogo sana kusema kwamba tuwaige inategemea. Na je kwa jinsi Dar ilivyo na watu mil tano na zaidi na mji umesambaa na hakuna mipango miji, tutaweza kukontrol hiyo lockdown?
Wewe una roho mbaya sana dhidi ya serikali kama ni nyoka basi ni koboko.Hujaweka ushahidi wowote hapa unaruka ruka tu kama kuku aliyekatwa kichwa, weka ushahidi wa hizo tuhuma zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kwanza kumwambia Bashite aache siasa katika suala la coronaUnapo nitishia maisha wewe unahati miliki ya kuishi milele?
Unalazimisha ionekane tunafurahia na kutubebesha lawama sisi tunaoshauri badala ya kuilaumu serikali yenye vyombo vya utendaji dhidi ya korona. Tambua hata wapinzani wasingeleta hizo mnazoita siasa bado janga hili lingetokea kutokana na uzembe wa watawala. Pole sana!Kama mnafurahia taifa lipate janga kama hili nyie si maadui?
Hujasoma? Anakiri kuwa ni mwanachadema?
Matusi yako hayawezi kukusaidie we mke mdogo wa Disc Jokey. Maana kumbe ana nyumba mbili nilikuwa sijui kama wewe ndio nyumba ndogo.Hujasoma? Anakiri kuwa ni mwanachadema?
Acha wafurahie wakifikiri wataenda Ikulu kwa mgongo wa vifo vya Watanzania. Hill halitatokea kamwe labda dunia iumbwe upya!Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19).
Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni hatua zipi za haraka tuchukue.
Mpaka sasa total reported cases ni kama 170.Ila waliopona ni wachache sana ukilinganisha na maambukizi, maana wamepona watu 11. Hii inaonyesha wanaopona ukilinganisha na maambukizi ni ratio ndogo sana.
Nina hakika kabisa kabisa huduma za afya hapa Tanzania ni duni ukilinganisha na mataifa kama Usa,Italy, Spain au Italy. Hivyo kama wagonjwa wakiongezeka itakuwa balaa kubwa.
Nashangaa sana kuna watu ati kisa ni wafuasi wa vyama vya upinzani basi wao wanafurahia hili janga liliwaue watanzania kwa wingi. Kisa tu serikali iliyopo madarakani ionekane imefeli kukabiliana na hili janga.
Hii haijakaa vizuri kabisa.
Kama taifa tuonyeshe umoja kwa kila namna ili kila mtu atoe mchango wake wa kila namna ili kukabiliana na hili janga. Tuache siasa za kupotosha au kupunguza morale ya kupambana na hili janga.
Mtoa mada anajifanya ana nia njema kumbe ndo kwanza anachochea. Hizi ndo siasa zenyewe lakini hajui.Wewe ni mmoja wa watu wanaoongoza kuandika mada za kuchochea chuki kati ya CCM na wapinzani,na hata kwenye uzi huu umeendelea kutoa tuhuma za kipumbavu kabisa kuwa Wapinzani wanafurahia kuendelea kwa maafa haya ya Corona ili kuikomoa Serikali. Jitafakari, hata mods niliwahi kuwaomba kuwa kipindi hiki wasiruhusu mada zinazochochea chuki kwani kama Taifa inabidi tuwe kitu kimoja kwani vyama vitapita lakini mwisho wa siku Taifa litabaki lakini naona mods wanafurahia malumbano ya kipumbavu badala ya kuwa hili ni jukwaa la kuelimishana na kupashana habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kupiga siasa ila mjue janga liko mlangoni petu...Nijibu nini? Wakati hata aliyeweka hiyo tweet humu Jf mnajua. Na mlifurahi kana kwamba ni jambo zuri.