Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kwa usalama wa kila mmoja hii ndo tiba,....Makabila yaweka mipaka ambayo ilikuwa ngumu watu wa hadhi tofauti kugombana ..Mke hawezi kumjibu mume vibaya , mdogo hawezi kumjibu mkubwa ,mtoto hawezi kumjibu vibaya ...Automatically hakuna ugomvi wa watu wa rika na hadhi tofauti .
Ila sasa kama ukoo wa kambale kila mtu ana ndevu .
Yeah!...Binafsi nakubaliana na wewe kuhusu maneno mbofu mbofu ya Balile Kwa Mzee Butiku ni ukosefu wa adabu. Lakini kinachosababisha ni Balile kudhani ana kinga ya serikali.
Balile ni chawa wa SamiaModerators. Msiunganishe huu uzi please. Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu??? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile.
Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile.... Wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU
Yapo hayo mekundu ndo matamu meupe ni kama unakula ndimu iliyochacha yanaitwa balungi Kwa lugha ingineMwenye picha ya madaranzi tafadhari atupie nataka nione yapoje mana mimi siyajui
mzee ataje anao wajua tuone kama hawatachapishwa kwenye vyombo vya habari. Full stop.Moderators. Msiunganishe huu uzi please. Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu??? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile.
Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile.... Wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU

mzee ataje anao wajua tuone kama hawatachapishwa kwenye vyombo vya habari. Full stop.
hakuna haja kujifichaficha au kusingizia sijui elimu, maadili au umri, hiyo haina maana yoyotre...
ukweli usemwe tu waziwazi![]()
Hilo nahisi ni Balungi, Danzi/daranzi linakuwa rangi ya kijani.
Balile ni tumboa njaa aina ya journalist wanaotumika, balile ni hopeless ni chawa mbwa, Butiku alijua hilo ndiomana aliwaambia kwani hamlipwi nyie? Balile ni kikatuni fulani hivi halafu kifupi.na kipo kwenye media 20+ years, absurd and shamefulMimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu??? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile.
Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile.... Wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU
Pesa sabuni ya rohoo mkuuMimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile. Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile, wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.

Haya sii ya kuyaongea wakati wa hasira,tusubiri muda sahihi tuyafanyie kazi.Mimi nazungumzia

Huyu jamaa Balile ni corrupt, muflisi wa siku nyingi. Tumbo niache niache kuwa chawa type. Mimi sishangai ila nadhani tunahitaji kuwa na rais mzalendo, mwenye hekima na akili atakayetuondolea huu ujinga. Sasa hivi tuko kama Kenya ilivyokuwa enzi za Moi.Rushwa kwa waandishi wa habari
HAKUNA MWANAUME MWENYE AKILI AKAJIITA MAMA SAMIA. HAKUNA HATA SIKU MOJA. WEWE MJIBU TU HUNA ATHARI NA HUSIKIKI POPOTE. YOU ARE NOTHING. 😁Kwani Butiku ni mmiliki wa wa hii nchi hadi asijibiwe? Hao wazee wangelinda heshima zao kwa kukaa kimya. Wana mchango mkubwa kwenye umaskini wa nchi hii. Makosa ya awamu ya kwanza anataka awabebeshe waliofuata. Kina Butiku ndo waasisi wa kuwachukia matajiri na kuukumbatia umaskini. Hapa nchini bado umaskini ndo unaonekana ni uzalendo. Hata mimi nitaandika uzi wa kumjibu Butiku hapa JF.
anadhani au anaona.Binafsi nakubaliana na wewe kuhusu maneno mbofu mbofu ya Balile Kwa Mzee Butiku ni ukosefu wa adabu. Lakini kinachosababisha ni Balile kudhani ana kinga ya serikali.