Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makabila yaweka mipaka ambayo ilikuwa ngumu watu wa hadhi tofauti kugombana ..Mke hawezi kumjibu mume vibaya , mdogo hawezi kumjibu mkubwa ,mtoto hawezi kumjibu vibaya ...Automatically hakuna ugomvi wa watu wa rika na hadhi tofauti .
Ila sasa kama ukoo wa kambale kila mtu ana ndevu .
Uko Sahihi kabisa, kizazi Cha Ajabu kabisa hiki Cha SasaVijana mkisoma basi mnajikuta mko sasa na watu wazima .
Kuna uzi mmoja jamaa anakulalamikia umemtisha na kumwambia utamuona kesho yake je ni kweli hizi habari we jamaa?mzee ataje anao wajua tuone kama hawatachapishwa kwenye vyombo vya habari. Full stop.
hakuna haja kujifichaficha au kusingizia sijui elimu, maadili au umri, hiyo haina maana yoyotre...
ukweli usemwe tu waziwazi![]()
Maadili maadili. Huko nyuma Wazee wanaambiwa wanawashwawashwa.Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile. Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile, wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU
labada yupo kwa mganga wake kwenye ramliKuna uzi mmoja jamaa anakulalamikia umemtisha na kumwambia utamuona kesho yake je ni kweli hizi habari we jamaa?

Kabisa nchi inazidi kuwa ya hovyo snHuyu jamaa Balile ni corrupt, muflisi wa siku nyingi. Tumbo niache niache kuwa chawa type. Mimi sishangai ila nadhani tunahitaji kuwa na rais mzalendo, mwenye hekima na akili atakayetuondolea huu ujinga. Sasa hivi tuko kama Kenya ilivyokuwa enzi za Moi.
labada yupo kwa mganga wake kwenye ramli![]()
wacha uchunguzi ufanyike hq ya chama tujue nani ni nani kwenye sakata hiliJamaaa hakujui. Ma CCM yote ni machawi tu na mauaji. Ndo yanaua watoto kwa sasa kama kafara.

Anafahamika aliyesema hizi ni Drama.wacha uchunguzi ufanyike hq ya chama tujue nani ni nani kwenye sakata hili![]()
Balile ni mchafu tuu kama wachafu wengine naa hawezi kukemee hata siku moja hayaa ,ataunga mkono na kuutetea huu utawala unaonuka damuuMimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile. Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile, wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU
Kwani Balile kasema kitu gani kibaya?Mimi nazungumzia

Hajasema kitu kibaya. Kaonesha tu ni Kilaza.Kwani Balile kasema kitu gani kibaya?
Balile naye Tanzania ni nchi yake aliyopewa na Mungu hivyo ana Uhuru na haki ya kumkosoa bila kujali umri yeyote anayeongea nje ya msitariMimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile. Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile, wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU
Ile kutaka sifa,ila hyo balile kichwani hamna kitu
Ova
Balile naye Tanzania ni nchi yake aliyopewa na Mungu hivyo ana Uhuru na haki ya kumkosoa bila kujali umri yeyote anayeongea nje ya msitari