Kama Taifa kuna sehemu tumekosea. Sijajua ni malezi au Elimu. Balile kumjibu Bujiku ni ishara ya mwisho wa Dunia

Ile kutaka sifa,ila hyo balile kichwani hamna kitu

Ova
 
na kwa usalama wa kila mmoja hii ndo tiba,....
 
Binafsi nakubaliana na wewe kuhusu maneno mbofu mbofu ya Balile Kwa Mzee Butiku ni ukosefu wa adabu. Lakini kinachosababisha ni Balile kudhani ana kinga ya serikali.
Yeah!...
 
Balile ni chawa wa Samia
 
Mwenye picha ya madaranzi tafadhari atupie nataka nione yapoje mana mimi siyajui
Yapo hayo mekundu ndo matamu meupe ni kama unakula ndimu iliyochacha yanaitwa balungi Kwa lugha ingine
 

Attachments

  • Screenshot_20240911-164615.jpg
    352.6 KB · Views: 1
mzee ataje anao wajua tuone kama hawatachapishwa kwenye vyombo vya habari. Full stop.

hakuna haja kujifichaficha au kusingizia sijui elimu, maadili au umri, hiyo haina maana yoyotre...

ukweli usemwe tu waziwazi
 
mzee ataje anao wajua tuone kama hawatachapishwa kwenye vyombo vya habari. Full stop.

hakuna haja kujifichaficha au kusingizia sijui elimu, maadili au umri, hiyo haina maana yoyotre...

ukweli usemwe tu waziwazi

MNATAKA NAYE MUMUUWE? ALIYESEMA HIZO NI DRAMA NI NANI?
 
Balile ni tumboa njaa aina ya journalist wanaotumika, balile ni hopeless ni chawa mbwa, Butiku alijua hilo ndiomana aliwaambia kwani hamlipwi nyie? Balile ni kikatuni fulani hivi halafu kifupi.na kipo kwenye media 20+ years, absurd and shameful
 
Kwani Butiku ni mmiliki wa wa hii nchi hadi asijibiwe? Hao wazee wangelinda heshima zao kwa kukaa kimya. Wana mchango mkubwa kwenye umaskini wa nchi hii. Makosa ya awamu ya kwanza anataka awabebeshe waliofuata. Kina Butiku ndo waasisi wa kuwachukia matajiri na kuukumbatia umaskini. Hapa nchini bado umaskini ndo unaonekana ni uzalendo. Hata mimi nitaandika uzi wa kumjibu Butiku hapa JF.
 
Taifa limejaa unafiki na kukosa maadili
 
Balile anasumbuliwa na uchawa ambao ndiyo kwa kiasi fulani umetibu njaa yake ya tumboni na kichwani.

Kabla ya uchawa Balile alikuwa na njaa ya kufa mtu. Kuna kipindi fulani alilalamika kwenye vyombo vya habari kuwa kashindwa kuvuta umeme nyumbani kwake kwasabb hana shilingi laki 8 za kulipia tanesco.
 
Pesa sabuni ya rohoo mkuu
Ask yuda
Kiburiii Yabisii
Shame n them
 
Haya sii ya kuyaongea wakati wa hasira,tusubiri muda sahihi tuyafanyie kazi.
 
HAKUNA MWANAUME MWENYE AKILI AKAJIITA MAMA SAMIA. HAKUNA HATA SIKU MOJA. WEWE MJIBU TU HUNA ATHARI NA HUSIKIKI POPOTE. YOU ARE NOTHING. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…