Kama Taifa kuna sehemu tumekosea. Sijajua ni malezi au Elimu. Balile kumjibu Bujiku ni ishara ya mwisho wa Dunia

Huyo Balile tangu watu waanze kupotea na kuokotwa wamekufa aliandika nini? au alimuhoji kiongozi gani wa kitaifa ili tuweke record sawa.

Kama hakuna basi anatupotezea muda, walewale
 

Hakuna Mila na desturi bila Makabila.

Mtu akishasema mambo ya Mila sijui utamaduni wakati alishavunja ukabila anaongea mambo asiyoyajua
 
mzee ataje anao wajua tuone kama hawatachapishwa kwenye vyombo vya habari. Full stop.

hakuna haja kujifichaficha au kusingizia sijui elimu, maadili au umri, hiyo haina maana yoyotre...

ukweli usemwe tu waziwazi
Kuna uzi mmoja jamaa anakulalamikia umemtisha na kumwambia utamuona kesho yake je ni kweli hizi habari we jamaa?
 
Maadili maadili. Huko nyuma Wazee wanaambiwa wanawashwawashwa.
 
Kabisa nchi inazidi kuwa ya hovyo sn
 
Balile ni mchafu tuu kama wachafu wengine naa hawezi kukemee hata siku moja hayaa ,ataunga mkono na kuutetea huu utawala unaonuka damuu
 
Kwani Balile kasema kitu gani kibaya?
 
Mtu yoyote anaweza kumjibu yoyote Ila inategemea anachojibu ni nini
 
Balile naye Tanzania ni nchi yake aliyopewa na Mungu hivyo ana Uhuru na haki ya kumkosoa bila kujali umri yeyote anayeongea nje ya msitari
Ile kutaka sifa,ila hyo balile kichwani hamna kitu

Ova
 
Balile naye Tanzania ni nchi yake aliyopewa na Mungu hivyo ana Uhuru na haki ya kumkosoa bila kujali umri yeyote anayeongea nje ya msitari

Akili ndogo haiwezi kosoa akili kubwa hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…