#COVID19 Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

Tuwe wakweli kwenye hili. Polisi au chombo cha dola chenye mamlaka kilipaswa IMMEDIATELY kumkamata na kumhoji huyu FAKE PASTOR Gwajima. Ametoa tuhuma nzito kuhusu watu walioruhusu chanjo ziingie Tanzania kuwa wanahongwa au na Bill Gates au na wazakishaji wa chanjo wa Marekani.

Kwa uelewa wangu aliyeruhusu chanjo zije ni Rais Samia baada ya kushauriwa na timu yake ya wataalamu. Kwa hiyo tuhuma ya Gwajima inamlenga Rais SSH moja kwa moja.

TISS na POLISI kamata huyu Fake Pastor Gwajima
 
Zaidi ya Kadeti, ni kuwa hizi chanjo zote bado ziko kwenye hatua za awali ZA MAJARIBIO! Lakini kwa vile binadamu jadi yake ni uonga na kuogopa kifo, basi anarukia na kujaribu lolote linalo letwa mbele yake; hii ndiyo hali ilivyo sasa dunia yote ikiwemo na hapa kwetu ambako sasa tutachukua chanjo yoyote na kutoka popote as long as tunaamini itatusaidia kukishida KIFO! Huu ni uoga na hofu aliyoikataa JPM wakati ule! Lakini hizi chanjo ziko kiuchumi na hivyo kibiashara zaidi. Tusubiri tuone.
 
Unadhani utapewa uDc kwa kutetea chanjo? Yeye katoa maoni yake na wewe kama una wazo mbadala toa.

Je, unaowatetea au wewe nani yupo tayari kubeba dhamana ya afya itakayoathirika au uhai utakaopotea kutokana na chanjo hiyo?
Jibu kwanza hoja zenye mashiko za Dr. Magufuli kuhusiana na Corona na chanjo kabla ya kutafuta uDc kwa gharama ya uhai wetu.
 
Nakajua umekuja na uchambuzi wa kisayansi kumpiga Gwaji boy kumbe umekuja na Ngonjera tu mpk sasa sijaona mtu aliyekuja kujibu hoja kisanyasi kumpinga Gwaji zaidi ya utopolo tu yeye anatumia haki yake kikatiba na nyinyi tumieni haki yenu kikatiba kuhamashisha watoto wenu wakapige Chanjo
 
Mbona taifa limejitoa kuwajibika kwa madhara ya chanjo? Utayari u wapi?
 
Bongo kweli......... wanazidi kuongezeka, ulitaka ukose washirika? Watu wanasita juu ya kuchanjwa kutokana na serikali kujitoa kuwajibika kwa madhara ya chanjo, na hivyo watu kuamini chanjo haina uhakika. Pia ni visa vinavyo elezwa kutokea baada ya chanjo kwa mataifa mengine. Huduma zetu za afya ni duni, watu hufa kwa madhara ya dawa za kawaida kabisa kwa hospitali zetu kukosa 'ant dots', sembuse chanjo mpya!
 
kwani shida iko wapi,hiyo michanjo seeikari imesema ni hiari na sio lazima,atakayetaka ataenda kwa hiari yake mwenyewe kuchanjwa ,ili mwisho wa siku lolote likitokea,asimpaumu kiongozi yeyote au serikali,ndio maana ni hiari na sio lazima.ili kumaliza mzizi wa fitina walete tu hiyo mi chanjo,anaetaka atapigwa ,asiyetaka pia atulie.maana naona tunachanganyana hapa,wapo walioweka pesa zao kwenye hii inshu ya chanjo,katu hawatokubali serikari akatae chanjo.
 
Duniani ukisema ukweli unakuwa adui.

Binafsi huwa simkubali Gwajima lakini kwenye hili la chanjo ana hoja

Jiulize Mbowe kwa mfano amechanja chanjo ya aina gani?

Ya msaada?....au alikwea pipa hadi Arabuni kuchanja!

Mkuu Pascal wewe umeshakula maisha wafikirie hata wajukuu zako basi.
 
Kwani adhabu ya kulisaliti Taifa lako ni nini? Nijuavyo mimi ni kuwekwa hapo mbele na kuiachia risasi ifanye kazi yake. Kwa kifupi adhabu anayostahili msaliti ni kifo. Period.
Kwa hiyo ndugu una maanisha Paschal mayala kwa sasa anakisaliti kimvuli chake?? Yaani unamaanisha kuwa Paschal anakikana kata kata kuwa kimvule chake cha miaka ya 2007 hadi 2015 hakikuwa cha kwake??. Kwa hiyo ndugu una maanisha Paschal alienda kwa mganga wake wa kisukumu kupiga ramli na kisha kuambiwa kimvuli alichonacho Cyo chake! Akaamua kupiga nyungu kama kawa ya wasukuma, Ili atoe mikosi ndipo kimvuli chake kikarudi??, Una maanisha Paschal ana kimvuli kingine kipya! Ambacho anaamini kindaki ndaki kuwa hicho ndo kimvuli chake halali? Kile kimvuli cha kupata kura mbili hakikuwa chake??. Kama unasema kile cha miaka ya nyuma ndicho chake kihalali! basi Paschal apigwe risasi mchana, tena peupeeeee!!!!!!. Kama hakikuwa halali basi Paschal apewe uwaziri wa umbaramwezi.
 
Umesema 60% , tupe chanzo cha hiyo habari yako! Ili nasi tujirizishe pasipo na shaka.
 
Asulubiwe!

Huyu ni msaliti kabisa. Mbunge wa CCM hatakiwi kubehave this way. Hii ni dharau kubwa kwa serikali na raisi.

Naamini CCM wanajua cha kumfanya. Kama chama tusikubali utamaduni huu wa kambale. Aondolwe kwenye chama akafanyie nje hizo porojo zake.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wee nawe nani hakujui? Jib hoja za Gwajima,siyo kuleta blaablaa na upoyoyo wa kuganga njaa.G ajibiwe kwa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…