Ndugai ndio huyu hovyo kabisaInahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana yake hata Raisi yumo. Tutaepukaje hili, inaonekana kuna sehemu tunakosea kama taifa, nani atalisaidia taifa hili?
- katiba mpya?
- chuo cha viongozi?
- Bunge imara?
Mungu isaidie Tanzania
Yuko sahihi kabisa yaani kwa mfano watu wa jimbo la makambako wanaongozwa na mtu kama Jah people au wayu wa Mtera wanamtegemea Kibajaji awawkirishe kwenye chombo cha kutunga sheria unategemea nini?Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana yake hata Raisi yumo. Tutaepukaje hili, inaonekana kuna sehemu tunakosea kama taifa, nani atalisaidia taifa hili?
- katiba mpya?
- chuo cha viongozi?
- Bunge imara?
Mungu isaidie Tanzania
Tate Mkuu nakusalimia kwa Jina la Jamhuriya muungano wa TanzaniaProfesa yuko sahihi. Viongozi wengi kutoka ccm uwezo, ufahamu na utashi wao wa kuongoza na kusimamia masuala mbalimbali ya nchi, uko chini. Rais hakosekani kwenye huo mkumbo! Hasa yule aliye tutoka hivi karibuni, alitia fora.
Hapana Raisi na makamu wa Raisi , inabidi uwatoe, lakini wengine chini yake kuanzia PM n.k nafikiri tuwaagize kutoka nje, sasa sijui tuongeze na wabunge pia tukodisheProfesa yuko sahihi. Viongozi wengi kutoka ccm uwezo, ufahamu na utashi wao wa kuongoza na kusimamia masuala mbalimbali ya nchi, uko chini. Rais hakosekani kwenye huo mkumbo! Hasa yule aliye tutoka hivi karibuni, alitia fora.
Ndiyo natakiwa kuitikiaje hapo mama D kwa salamu hiyo? Nimepita Iringa juzi kati hapa, nikakuta mabango yaliyokuwa na picha za Rais wako kipenzi, Mheshimiwa Dokta John Pombe Joseph Magufuli, eti yamebandikwa picha za MAMA!! Hii ni haki kweli mama D? Si yangebakia tu ili kumuenzi marehemu?Tate Mkuu nakusalimia kwa Jina la Jamhuriya muungano wa Tanzania
Ndiyo natakiwa kuitikiaje hapo mama D kwa salamu hiyo? Nimepita Iringa juzi kati hapa, nikakuta mabango yaliyokuwa na picha za Rais wako kipenzi, Mheshimiwa Dokta John Pombe Joseph Magufuli, eti yamebandikwa picha za MAMA!! Hii ni haki kweli mama D? Si yangebakia tu ili kumuenzi marehemu?
Picha zake zimetolewa maofisini, bado na mabango wanang'oa au kuyabafilisha maandishi na picha! Hivi hata falasafa zake watazienzi kweli? Mfano ile ya kutowapandisha wafanyakazi mishahara na madaraja yao ili hela zikanunulie ndege nyingine kubwa kubwa za kusafirisha matajiri huko duniani, bk
Au ndiyo ule msemo wa kufa kufaana ndiyo unatumika kwa spidi kubwa? 😇
Rais niliyemaanisha hapo ni yule ni yule aliye tutoka siku za karibuni. Simzungumzii huyu wa sasa! Huyu mama tutamtathmini mwakani! Inshallah!!Hapana Raisi na makamu wa Raisi , inabidi uwatoe, lakini wengine chini yake kuanzia PM n.k nafikiri tuwaagize kutoka nje, sasa sijui tuongeze na wabunge pia tukodishe
Mbona umemtaja huyo ni Baba yako?Inamaana Baraza zima la Mawaziri ni Hussein Bashe tu ndie mwenye weledi?
Hapana sio Baba yangu, ila ninahaki ya kumtaja Waziri yeyote kwa sababu namlipa Kodi yangu. Wewe je?Mbona umemtaja huyo ni Baba yako?
Pa kuanzia ni kupata:Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana yake hata Raisi yumo. Tutaepukaje hili, inaonekana kuna sehemu tunakosea kama taifa, nani atalisaidia taifa hili?
- katiba mpya?
- chuo cha viongozi?
- Bunge imara?
Hii ina maana 40% wanao upeo. Asilimia itaongezeka polepole wakati tukitumbua wasokuwa na uwezo. Ni muda tutayaona haya. Wakimzingua watazinguana.Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana yake hata Raisi yumo. Tutaepukaje hili, inaonekana kuna sehemu tunakosea kama taifa, nani atalisaidia taifa hili?
- katiba mpya?
- chuo cha viongozi?
- Bunge imara?
Mungu isaidie Tanzania
Hussein mwizi huyo...Inamaana Baraza zima la Mawaziri ni Hussein Bashe tu ndie mwenye weledi?
Kwa mfano, spika ndugai ameshathibitika kukosa kabisa weledi.. Tutamtumbua vipi?Hii ina maana 40% wanao upeo. Asilimia itaongezeka polepole wakati tukitumbua wasokuwa na uwezo. Ni muda tutayaona haya. Wakimzingua watazinguana.