Kama taifa linawategemea hawa, basi tusahau kabisa maendeleo halisi

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,200
Reaction score
17,670
Nimefuatilia yanayoendelea hapa nchini kwetu, nimejukuta nikijiuliaza swali, hawa ndio viongozi wa kutuletea watanzania maendeleo tunayoyatamani kama nchi?

Kesi ya Lissu bila shaka watu/viongozi wanaotegemewa walikaa wakapanga kumpa kesi ya uhaini ili kumkomesha. Sasa angalia aina ya mashtaka na ushahidi waliopanga ili mahakama umuone ana hatia ya uhaini na anyongwe! Hao ndio viongozi wetu tunaowategemea. Najionea aibu kujiita mtanzania
 
Aiseeee 🤔
 
Huko tuendapo si muda mrefu yataibuka magenge au makundi ya watanzania walioumizwa kwa ajili ya kulipa visasi na kufanya uhalifu dhidi ya serikali au viongozi hao.

Maadui wa nje na ndani ya taifa watawatumia walioumizwa au kunyimwa haki kutekeleza uhalifu.

.
 
Back
Top Bottom